Hivi, ile jana wakati tunajadili kitu muhimu kama hiki, kuna mtu mmoja anaitwa Mkandara, alikuja akatoa kaushauri kuwa hii mada haifai, hivi haifai kweli? we need to discuss this matter kusema ukweli, kwasababu you know it is not done by only one person, and it is not done one day, inafanyika karibia kila wiki ikiongozwa na watu tofauti. should christian radios also start it? is that what we need here in Tz? kama hapa JF ni mahali pa kurekebisha jamii, kwanini mambo ya hatari kama haya tunayafumbia macho? kwanini mtu mmoja tu ambaye pengine ndiye anayeongoza na kusapoti iyo mijadala ya kusambaza sumu ya uadui anakuja na kusema tuache mada na wewe admin unaiweka kwenye closed topics? kama kitu kunawatachi watu wa dini fulani, mnatakiwa mkiache tu kijadiliwe, hata kama kinawatachi wakristo wanatakiwa wajadiliwe manake hata wao wanazo radio. what we need to do here is to correct our jamii, ili tusije tukajikuta tumeingia pabaya. sasa, the topic is closed, je meseji kwa wahusika au viongozi wa selikali imefika? tunalea ugonjwa? think about this please, na naomba watu wajadili hii mada.
Kwanini radio KHERI ya waislam inahubiri mambo ya kuchochea chuki dhidi ya wakristo? why? kwanini mtu anaishi hapa hapa tz na anaongea kauli kama"Wakristo wakiona waislam tumeanzisha vita, lazima tutawashinda tu manake wao hawana historia ya kutushinda sisi waislam vita" halatu watu tunaona kitu cha kawaida tu. au hatujajifunza toka kwa nchi zingine? NA HII SIO MARA MOJA, IMETOKEA MARA NYINGI SANA, HII RADIO WATU WENGI WAMEILALAMIKIA. kama tunaiona inafanya vyema tu, basi, na wakristo nao waanze.
ukweli gani?Mbona hamna chuki yoyote wanachosema ndio ukweli wenyewe!
mitazamamo tofauti ndo inasabisha mnawakandia wakatoliki kila kukicha mbona wao hawa jibu hayo mapigo lakini bado mnakomaa nao.Mkuu, hakuna mtu mwenye chuki kama unavyosema! Ni mitizamo tofauti tu, wote sisi ni ndugu
sijawahi nunua ila nasoma headlines ndo nasikia kichefuchefu.wewe kama unaakili timamu basi kwanini unakwenda nunua magazeti yanayo leta habari za kipuuzi kama hizo.
walewaleCCM labda ni adui yako wewe, usitake kuongelea kila mtanzania....mimi adui yangu ni CDM
NduguTatizo hapa sio waisilamu tatizo ni jamii nzima kwa sababu hapo inawezekana kuna radio za kikristo pia zinafanya mtindo huo wa kukashifu na kufanya mengine ila sisi hatujui au pengine hakuna mwisilamu aliyekuja kulalamika hapa
tukubali hilo ni tatizo la jamii nzima ya watanzania sio waisilamu na matatizo yoyote yaliyokuwa katika jamii ni ya jamii nzima umasikini ni wa watanzania wote sio waisilamu peke yao kwahiyo tusitake kufanya mada hii ni ya kidini tuanze kuchafuliana heshima na maadili ya jukwaa
mkuu sasa kosa lao hasa ni lipi na haya magazeti yanachofanya ni kuwakemea au kuwajulisha waislamu ubaya wa hao wakatolikiMbona mnauliza nazi kisiju? Hivi Wakristo wanapofundishwa mashuleni negative kuhusu Waislamu nyinyi mbona hampingi hilo? Ni agenda ya Wakatoliki duniani kote kupinga dini zengine kwa kutumia mwanya Serikalini. Wakatoliki wanawapinga hata hao Wakristo wenzao kwa misingi kwamba si Wakatoliki. Hatua iliyochukuliwa na hayo magazeti ni muhimu kwa sababu hawa Wakatoliki wakiaachiwa wataleta vita hapa TZ.Agenda za Wakatoliki duniani ni kutawala dunia, kwa njia yoyote. Nashukuru kwa hatua iliyochukuliwa na hayo magazeti kufichua Ubaya wao. Hawa jamaa Wakatoliki ni hatari sana. Na Nyerere ndiye aliyewapandikiza na Udini wao serikalini.
kweli na wewe unasupport huo ujinga duh, nimeamini hawa jamaa wanalao jamboMbona mnauliza nazi kisiju? Hivi Wakristo wanapofundishwa mashuleni negative kuhusu Waislamu nyinyi mbona hampingi hilo? Ni agenda ya Wakatoliki duniani kote kupinga dini zengine kwa kutumia mwanya Serikalini. Wakatoliki wanawapinga hata hao Wakristo wenzao kwa misingi kwamba si Wakatoliki. Hatua iliyochukuliwa na hayo magazeti ni muhimu kwa sababu hawa Wakatoliki wakiaachiwa wataleta vita hapa TZ.Agenda za Wakatoliki duniani ni kutawala dunia, kwa njia yoyote. Nashukuru kwa hatua iliyochukuliwa na hayo magazeti kufichua Ubaya wao. Hawa jamaa Wakatoliki ni hatari sana. Na Nyerere ndiye aliyewapandikiza na Udini wao serikalini.
huyo jamaa hoja yake haina nguvu. Vipindi vyote vya radio za kikristu kama radio maria,safina fm,praise fm,upako radio, living water na nyingine kibao na hayo magazeti yao kama mkombozi,nyakati,msema kweli na kiongozi pia tv zao kama Atn, Trinet nk sijawahi kuona,kusikia kusoma habari inayo kandia waislam direct mwenye link atuwekee hapa. Kwa hiyo hawa jamaa wameamua tu kuleta machafuko, ngoja tuone watafika wapi.Ndugu Tatizo ni baadhi ya waislam na si waislam wote pia Si tatizo la jamii nzima ya watanzania kama unavyotetea maana lingekuwa tatizo la jamii basi upande wa pili wa jamii ungejibu. Hapa sisemi waislam wajibiwe na Wakristu pakee bali kuna baadhi ya watanzania wasioabudu dini yeyote kati ya hizo tunazozizungumzia!Kuna watu tunaowaita wapakani, hawa wametukanwa sana na sijawahi kuwasikia wakijibu mashambulizi.Therefore to put a blame to the whole community is not correct!Only Muslim are the problem and its funny that they do raise when the head of state is Muslim [Kwa mwinyi yalikuwa hayahaya, Sasa kwa JK]. Swali hapa ni kwamba: Je, mkuu wa nchi anakubaliana na uhamasishaji wao??J,
Kaka, umeishawahi kusoma Magazeti ya kikiristo, Nyakati na Msema Kweli?kweli na wewe unasupport huo ujinga duh, nimeamini hawa jamaa wanalao jambo
UbungoUbungo,
Mkuu kila ninapoandika kitu nakuomba ukisome vizuri kwa makini upate kunielewa vizuri..
Nilisema ile mada haifai uwanja huu kwa sababu nyingi na za maana kwani mada yenyewe ilikuwa ikizungumzia kitendo cha Sheikh mmoja kuzungumzia maswala ya chuki na kadhalika ukaijengea msingi hoja nzimakuzungumzia waislaam ni watu wanaotaka kueneza chuki..Jambo ambalo sio kweli na nikakupa mfano wa redio ambazo huleta watu wakatukana Uislaam kuwa ni dini ya mashetani..ni ujinga kuhukumu wakristu wote kwa sababu ya mtu mmoja. He, only him must be held responsible.
Haya yote ni mawazo ya mtu mmoja ama kikundi fulani ambacho tunaweza kuki hold responsible lakini sio kuanzisha mada inayoonyesha wazi umejifungia ktk sanduku gani... hutaki kuona nje ya hapo..
Ukichunguza kwa makini zipo redio nyingi sana zimesajiliwa kama redio za dini lakini redio hizi hizi huingilia hata maswala ya siasa nchini na pengine kuhukumu watu, viongozi kutokana na majina yao ya dini tofauti..
Tofauti na redio hizo tunataka kijiwe hiki kiwe na mada zinazozungumzia WATANZANIA na matatizo yetu bila kuwa bias.. Kesho Mwanakijiji anaweza kabisa kumhoji Mtikila na akatoa maoni yake machafu kuhusiana na Uislaaam au Akamhoji Sheikh naye akatoa maoni yake machafu dhidi ya Ukristu, sasa huwezi kumhukumu Mwanakijiji kwa nini ametuletea kipindi kama hicho kwa sababu tu yeye ni muumini wa dini gani..Yes inawezekana anajaribu kueneza propaganda chafu na tumshtakie kwa hilo..
Kuna upande wa pili wa shilingi ambao unaweza kabisa kusomeka kwamba Mwanakijiji amefaya hivyo kuonyesha kwetu kwamba wapo watu wenye chuki na udini pamoja na kwamba hoja ya msingi ilikuwa OIC ama mahakama ya kadhi. Ni moja ya sifa ya waandishi kuweza kuibua watu kama hawa na kutuachia sisi wasikilizaji kupima na kuchukua mkondo upi. Watu kama hawa wapo sio ktk dini pekee wapo hata ktk Makabila na pengine hata tofuti kat ya Matajiri na maskini.
Matusi yamekuwa ni kama vile moja ya mila ya Mdanganyika kutokana na Umaskini wa akili na mali hivyo badala ya kupandikiza chuki baina ya waumini ni bora sana kusikiliza kisha unapima na kuchambua pumba topka ktk mchele. Hata Ahmadinajad na matusi yake bado hupewa nafasi kuongea ktk vyombo vya habari Marekani, kwasababu wanakuwa na mwanga zaidi jinsi mtu huyu anavyofikiria, ujinga anaojaribu kuutangaza kama upo...
Nitarudia tena kusema tatizo la Udini Tanzania lipo na linatakiwa kuwa addressed kama UDINI lakini usichukue mfano wa mtu mmoja tu Muislaam kuonyesha kwamba Udini nchini unatengenezwa na Waislaam kwa sababu ya tukio moja ulolisikia ktk redio wakati sisi wengine tumekwisha sikia zaidi ya mara moja tena toka viongozi wa juu wa dini zote mbili...
Kweli kabisa serikali inatakiwa kuchunguza redio kama hizi, viongozi kama hawa na hasa pale zinapoendesha mafundisho yenye kujenga chuki baina yetu lakini huwezi kuyahukumu mafundisho pia ...
Kwa mfano kiongozi wa dini fulani anaweza kusema hakuna dini ya kweli isipokuwa dhehebu fulani! huwezi kwenda peponi bila kufuata blaa blaa blaa!..na wengine wote ni mashetani, wamepotea na kadhalika..
Haya ni matusi makubwa kwa madhehebu mengine ktk lugha ya dini kwa sababu kila dini na dhehebu linafikiria kwamba wao ndio wenye kufuata faradhi za Mwenyezi Mungu..Hivyo kwa mwenye kuelemika atayachukua maelezo hayo na kuyapima kisha unatazama imani ya dini yako na pengine mapungufu yanayozungumziwa kabla hutachukua bunduki na kuanza ku shoot!..Haya ni mafundisho yanayotutenganisha sote ktk imani.. Utengano ambao unakubalika na kupokelewa ktk kila jamii kiimani..Yapo ya kupuuuzwa kwa sababu ni ujinga, hawafahamu dini yako na kadhalika maana dini ni somo - kitabu, sio watu na wafuasi wake kwa majina.
Mtu akikuita wewe ****** hali usenge wenyewe huna hakuna sababu ya kuhamaki isipokuwa kama kweli wewe ni ****** na uijaribu kuifdanya siri maelezo kama hayo a usenge yatakutoa roho...
Hizo redio waache wajifurahishe, ni msingi wa maskini kwa sababu nimewahi kuzisikiliza sana ni ujinga mtupu..Mkuu ebu fikiria kitu kimoja, hivi kweli tunaweza kupigana ati kwa sababu mtu kasema - Yesu sio mtoto wa Mungu! au Muhammad ni tapeli! tunatoka mishipa na kutamani kuuana, tunashindwa kuelewa somo zima ni neno la MUNGU ndilo litakalo kupeleka peponi. Kuamini tu kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu ama Muhammad ni msafi kiasi gani ama ukaribu wake kwa Mungu wakati tunashindwa kuamini na kufuata mafundisho yaliyopo ktk Biblia ama Kuran yanayokutaka unyenyekevu na utiifu kwa Mola aliyetuumba ni kuto pay attention to goals ambazo vitabu hivi vimekusudia ktk kutuelimisha.
Binafsi nilikwisha sema (kulngana na imani yangu) kwamba dini ni elimu, haijalishi kuwa Yesu alikuwa nani au Muhammad alikuwa nani isipokuwa ujumbe waliotufundisha..Ridhwan ni mtoto wa Kiwete...so what? -niamini zaidi kitabu chake kuhusiana na maisha ya Kikwete kwa sababu tu ni mtoto wa Kiwete au hoja ni ujumbe gani anaotupua kuhusiana na Kiwete!..Je ni lazima uwe mtoto wa Kikwete ndio unaweza kujua vizuri makusudio ya Kikwete kwa raia wake!..To me, It doesn't matter kama ni mlevi, tapeli au kipara - hoja ni kile kilichoandika kinahusiana vipi na matakwa ya Mungu na kama kinajenga jamii yetu na kutufanya kuwa viumbe bora zaidi!.. Period..
Tusitoane roho kwa imani jamani hakuna hata mmoja wetu anayefahamu, sote tunaamini elimu hii ya Uungu kwa kusoma vitabu...na ni muhimu tuvichukulie vitabu hivyo kama njia ya kutupa elimu zaidi badala ya dini kuwa ni sisi waumini wajinga walioingia bila elimu.
Mbona mnauliza nazi kisiju? Hivi Wakristo wanapofundishwa mashuleni negative kuhusu Waislamu nyinyi mbona hampingi hilo? Ni agenda ya Wakatoliki duniani kote kupinga dini zengine kwa kutumia mwanya Serikalini. Wakatoliki wanawapinga hata hao Wakristo wenzao kwa misingi kwamba si Wakatoliki. Hatua iliyochukuliwa na hayo magazeti ni muhimu kwa sababu hawa Wakatoliki wakiaachiwa wataleta vita hapa TZ.
Agenda za Wakatoliki duniani ni kutawala dunia, kwa njia yoyote. Nashukuru kwa hatua iliyochukuliwa na hayo magazeti kufichua Ubaya wao. Hawa jamaa Wakatoliki ni hatari sana. Na Nyerere ndiye aliyewapandikiza na Udini wao serikalini.
Ubungo ubongo una tatizo la chuki binafsi dhidi ya waislamu ! For mio ,kama suala /mambo yanayoongelewa ni uongo , KWANINI TUSIENDE MAHAKAMANI ? TATIZO LIPO NA KINACHOFANYIKA NI KUSUKIA MOTO UNAOWAKA KWA MAJIVU U KNOW WHAT WILL HAPPEN THEN ! TZ KUNA UDINI ULIOVUKA MIPAKA NA MIMI HUWA NAZIKUBALI SANA REDIO ZOTE ULIZO NA CHUKI NAZO BINAFSI WEWE NA WAKATORIKI WENZAKO ! Kwa mfano suala la ajila za TUME YA AJIRA ZILIZOTOKA CURRENTLY , KWA NINI WAKATORIKI WAWE 85% , 10% MUSLIMS NA MADHEHEBU ZOOTE ZILIZOBAKI ZIWE 5% ? Kwa kigezo gani ? Wasabato tuna shule ngapi , ina maana zote zinatoa vilaza ? WENYE CHUKI NA UBAGUZI DHIDI YA WANA WA ADAMU HAWATAUONA UFALME WA MUNGU NAWE NI MIONGONI MWAO ! Mbadirike , AU DINI YENU INAFURAHIA KUPENDELEWA KWA STAHILI HIZI ? WAPI KTK BIBLIA TUNAAMBIWA TUHODHI VYA DUNIANI KWA ULAFI WA MIOYO YETU ? Then unasema Wakristo wakilalamika nao ?? Shameful , wanaolishabikia suala la kupendelewa na kubebwa ni Wakatoriki ! Na ktk uchaguzi uliopita hili lilikuwa KUBWA ZAIDI LA KUTUNYANYASA KWA DINI ZETU , Wakatoriki DINI ya MUUMBA haiendeshwi hivi ! Ifike mahali BADALA KUMLAUMU MTU /DHEHEBU KWA KULALAMIKA ,LET U USE YOUR HEAD UJUE KWANINI ANALALAMIKA KABLA HAKUJAWA BURUDI !
Wewe ni nanga kweki ndugu nja utaelendelea kutupwa topeni .Sijawahi kusikia na utu uzima wangu huu wala kuona Wakatoliki wanasumbuka na madhehebu mengine .Wasumbuke na waislam ambao hata hawawezi kuji manage wenyewe ? Shame on you .Kwa taarifa kama ni utawala wa wakatoliki wanaitawala Dunia na itakuwa hivyo maana wanapiga book .Ushahidi upo .JK alichukia Nchi alienda mwenyewe Roma hakuitwa kule Rome.Nasema huwawezi wakatoliki endeleeni kupiga soga na magazeti yenu uone kama itakusaidia .
Yaani wala hauhitaji kuwa na akili kama za rocket scientist kujua tatizo lenu ni nini....lakini bado mnalalama tu. Kama uchochezi na kakashifu dini za wengine ndiyo ingekuwa kigezo cha kuajiriwa basi tungeona asilimia kubwa ya majina ya watu wa madhehebu yenu hapo juu!Ubungo ubongo una tatizo la chuki binafsi dhidi ya waislamu ! For mio ,kama suala /mambo yanayoongelewa ni uongo , KWANINI TUSIENDE MAHAKAMANI ? TATIZO LIPO NA KINACHOFANYIKA NI KUSUKIA MOTO UNAOWAKA KWA MAJIVU U KNOW WHAT WILL HAPPEN THEN ! TZ KUNA UDINI ULIOVUKA MIPAKA NA MIMI HUWA NAZIKUBALI SANA REDIO ZOTE ULIZO NA CHUKI NAZO BINAFSI WEWE NA WAKATORIKI WENZAKO ! Kwa mfano suala la ajila za TUME YA AJIRA ZILIZOTOKA CURRENTLY , KWA NINI WAKATORIKI WAWE 85% , 10% MUSLIMS NA MADHEHEBU ZOOTE ZILIZOBAKI ZIWE 5% ? Kwa kigezo gani ? Wasabato tuna shule ngapi , ina maana zote zinatoa vilaza ? WENYE CHUKI NA UBAGUZI DHIDI YA WANA WA ADAMU HAWATAUONA UFALME WA MUNGU NAWE NI MIONGONI MWAO ! Mbadirike , AU DINI YENU INAFURAHIA KUPENDELEWA KWA STAHILI HIZI ? WAPI KTK BIBLIA TUNAAMBIWA TUHODHI VYA DUNIANI KWA ULAFI WA MIOYO YETU ? Then unasema Wakristo wakilalamika nao ?? Shameful , wanaolishabikia suala la kupendelewa na kubebwa ni Wakatoriki ! Na ktk uchaguzi uliopita hili lilikuwa KUBWA ZAIDI LA KUTUNYANYASA KWA DINI ZETU , Wakatoriki DINI ya MUUMBA haiendeshwi hivi ! Ifike mahali BADALA KUMLAUMU MTU /DHEHEBU KWA KULALAMIKA ,LET U USE YOUR HEAD UJUE KWANINI ANALALAMIKA KABLA HAKUJAWA BURUDI !