No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland

Za mapenzu zipo kama

She got a gwan

Anayolalamika ni

Dakika moja

"Samahani dada naomba dk yako moja tu nataka kuongea mimi na we

Nataka nikueleze kiasi gani amacho mi moyoni napenda kuwa mimi nawe
 
Naomba kumjua huyu mwamba Ngwair( R.I.P) kwa undani zaidi maana kipindi chake mi ndo kwanza nilikuwa mdogo kiasi kwahyo sikuwa na ufahamu mkubwa kumhusu.
Naskia alikuwa msanii maarufu Sana Tena wa kipekee kwenye fani ya muziki wa hip hop Hapa Tanzania.

Naomba kueleweshwa machache kumhusu ili nami niweze kuenda sambamba na wanaomjua.

Je Ngwair alizaliwa mwaka gani,maeneo gani, yeye alikuwa Ni wa kabila gani? nyimbo pamoja na album zake, producer wake alikuwa Nani? Alifariki mwaka gani na Nini haswa kilichosababisha kifo chake?

Ahsante.
 
Albert a.k.a ngwea the simple man
Sio bitoz sio brother man
R.......... ............... .....I.....................................P
 
nasisitiza hip hop sio ubishoo na navyofanya show kazi yangu ni kuflow

Waulize hao mabitoz kujipodoa hawaoni Soo
 
Mwisho Watakata Viuno Stejini Kaa Ray C...Au Watakuja Mwiga Saa Na Lady Jay Deeee...Nazimiwa Na Medemu Wengi Na Wote Siwapendi Leta Nipige Show Gita Na Live Band...Hip Hop Ni "Chik Chik" Naruka Ki-Dj Yoh Yoh Na Tuna Rack Away..
 
Naomba kumjua huyu mwamba Ngwair( R.I.P) kwa undani zaidi maana kipindi chake mi ndo kwanza nilikuwa mdogo kiasi kwahyo sikuwa na ufahamu mkubwa kumhusu.
Naskia alikuwa msanii maarufu Sana Tena wa kipekee kwenye fani ya muziki wa hip hop Hapa Tanzania.

Naomba kueleweshwa machache kumhusu ili nami niweze kuenda sambamba na wanaomjua.

Je Ngwair alizaliwa mwaka gani,maeneo gani, yeye alikuwa Ni wa kabila gani? nyimbo pamoja na album zake, producer wake alikuwa Nani? Alifariki mwaka gani na Nini haswa kilichosababisha kifo chake?

Ahsante.
ingia audiomack pakua album mbili za ngwair "A.K.A Mimi" na Ng'e
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom