Nitajie top 5 ya ngoma zako kali kutoka kwa Ngwair

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Feb 25, 2022
182
259
Nitajie ngoma ambazo/ambayo ni ya Marehemu Albert Mangwair, au Awe ameshirikishwa. Na kwenye hiyo ngoma amefunikwa na huyu msanii mwingine. Ni ngoma gani hiyo?

Ulisikiliza halafu ukasema humu Ngwair kafunikwa, Pamoja na uwezo wake mkubwa aliokuwa nao.

Namba 2.

Nitajie top 5 ya ngoma zako kali kutoka kwa Ngwair. 5 tu.

Mimi naanza.

1.Masikini Wenzangu
2.CNN
3.Mikasi
4.Mapenzi Gani
5.Tupo Juu.

Twende kazi ndugu zangu wa Jamiiforums.


#Forgive me.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom