Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Jamani mwenye kujua code ya namba hiyo hanisaidie.
mmmiliki ananisumb ua kweli,akipiga nikipokea anauliza jina langu na kukata na baadaye kupiga tena karibu mara 10 kwa siku lakini mimi nikipiga naambiwa haipo na kweli ukitazama hizo namba zinazidi kwani kuna 0 kati ya code ya nchi na ya namba za mitandao.
nimejaribu hata kupiga namba 0684100700 laklini haifanyi kazi
tofauti ya namba hii na za kawaida ni kwenye sifuri tazama +2550684100700 na +255684100700
Nawezaje kujua mtu huyu yuko bongo hsap[a au mambo ya Technlojia
Mtumiaji anatumia software ya fake number, anakufahamu na yawezekana yuko bongo, nitafute nikusaidie kumfahamu!
Ndugu JF ina wengi sana weka hadharani Binafsi kuweni makini sana hasa watu wa JF wanapokwambi tuwasiliane else ni wachache wenye roho zakina DIDY...utakanyaga miwaya ya KOVA bila kujua kesi yakoweka wazi hapa jamvini usaidie wengi
Mkuu hiyo namba ni ya mtandao wa zain airtel. Hiyo 0 inajitokeza kwa kuwa unatumia mtandao wa tigo.Jamani mwenye kujua code ya namba hiyo hanisaidie. mmmiliki ananisumb ua kweli,akipiga nikipokea anauliza jina langu na kukata na baadaye kupiga tena karibu mara 10 kwa siku lakini mimi nikipiga naambiwa haipo na kweli ukitazama hizo namba zinazidi kwani kuna 0 kati ya code ya nchi na ya namba za mitandao. nimejaribu hata kupiga namba 0684100700 laklini haifanyi kazi tofauti ya namba hii na za kawaida ni kwenye sifuri tazama +2550684100700 na +255684100700 Nawezaje kujua mtu huyu yuko bongo hsap[a au mambo ya Technlojia
Jamani mwenye kujua code ya namba hiyo hanisaidie.
mmmiliki ananisumb ua kweli,akipiga nikipokea anauliza jina langu na kukata na baadaye kupiga tena karibu mara 10 kwa siku lakini mimi nikipiga naambiwa haipo na kweli ukitazama hizo namba zinazidi kwani kuna 0 kati ya code ya nchi na ya namba za mitandao.
nimejaribu hata kupiga namba 0684100700 laklini haifanyi kazi
tofauti ya namba hii na za kawaida ni kwenye sifuri tazama +2550684100700 na +255684100700
Nawezaje kujua mtu huyu yuko bongo hsap[a au mambo ya Technlojia
Naona ule mpango wa kuregister SIM cards umeishia kwenye kuregister tu! Manufaa hakuna kama kawa.
Kwa ninavyoelewa kufake namba kwenye GSM haiwezekani, at least kwa methods za kawaida, so hizo namba ndo zenyewe. Inaweza ikawa ni wizi, ukiwapigia wanakucharge kiasi kikubwa kuliko standard rate.
Unachoweza kufanya kama una simu ambayo iko advanced kidogo (S60,Blackberry, Android, Windows Mobile etc) kuna program za kublock call unaweza kuinstall kisha unaiambia izuie hiyo namba. Provider wako pia ana uwezo wa kublock namba kama ukiwaambia, ila bongo hii inaweza kuwa mtihani.
Ule mpango ulikuwa ni wa ki-Politik zaidi... nadhani unakumbuka Shamte alivyotumia database yenye namba zilizosajiliwa za wa-danganyika..
Ni customer service ya Airtel!
Hawa wahindi wanajua kubandika matangazo. Kwa siku unaweza ukapata hadi sms 5 za promosheni. Usiombee ukiwa unatuma sms. ukituma ya kwanza unapata msg. Inaendelea mpaka ya tano. Ukituma kumi inakuja nyingine. Nimewapigia kucomplain wakaniongelesha nusu saa (ukitoa dk 20 za kusubiri kuunganishwa). Uchakachuaji everi wea
weka wazi hapa jamvini usaidie wengi