NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!

NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!

Hapa Arusha hadi wabibi wanatembea mjini wakionyesha ishara ya vidole viwili.

Nativunia kuwa sehemu ya mabadiliko,

Najivunia kuwa mpiga kura wa Arusha.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wewe mbona bado msichana tu bado? Badili kioo unachotumia kujangalia kwani ndicho kilichozeeka.
ha haaa, umenikumbusha kuna siku kuna mtu aliniambia natumia kioo cha mchina, lol!
nimechekaje sasa!
 
Mkuu mambo vipi? Jana nimekaa sana Arusha na ushindi nimeushangilia sana..vipi lakini?

Kilichoniudhi ni polisi tu mkuu. Weshatuzoesha tear gas na tuliyamiss sana, ila juzi na jana walikuwa more than friends.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom