NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!

NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!


shemejio Ruttashobolwa ndio
kanichagulia,eti lile la mwanzo
rahisi kila mtu analitaja hovyo!!hili
wengi wanajing'ata ulimi kulitamka!!ndyofu zipo
ila mimi siku hizi natumia viroba tu na msuba wangu burdaaaani!!


Muulize huyo lawyer Ruttashobolwa ameshatengeneza affidavit kulikataa jila lako la kwanza au bado anasua sua
Mhhh unanitisha binamu dismynder1 maana msuba tena mbona Ruttashobolwa atakuwa anakimbia chumba aise
 
Last edited by a moderator:
mwaka huu lazima tuwarushe kichurachura wazee wa green, Gwanda ndiyo mpango mzima... 4-0 ndiyo habari ya Arusha, hapana chezea CDM Kabaisaaaa!!!!

Mume wangu Arushaone oyeeeee...... CDM oyeeeee...... Arusha oyeeeee!!!!!!!!!!
Lady doctor unajua natamani tufanye hivi kwa midomo yetu :A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss: ila namuogopa sana Arushaone
 
Last edited by a moderator:
M@anina,asanteni sana arusha na hiyo iliyobaki tuiteke wakome kabisa hao masisiemu. ------- sana hawa magamba
 
Last edited by a moderator:
safi sana kijana yani hadi ulikuwa upatikani, nilitaka kukujulisha kuwa Lady doctor kasema wewe na yeye kuanzia jana baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;

halafu shem....!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom