Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,868
1) kazi yao kubwa ni kutumia siasa kuganga njaa zao
2) Sifa zao ni kutaka madaraka kwa gharama zozote hata ikiwa ni pamoja na kuondoa uhai wa mtu
3) Chadema wanachojua ni kuwahujumu wale wote wenye mawazo tofauti na yao kwa kuwatesa na hata kupoteza maisha ya wanaowapinga.