Nnauye: Viongozi wengi Chadema wanaganga njaa...

Haya matukio yanayoendelea yatawagharimu sana Chadema.

1. Tukio la mkanda wa Lwakatare (UGAIDI)
2. Tukio la kufukuzwa Lissu na wenzake Bungeni
3. Tukio la wabunge wa chadema kutetea maslahi ya kanisa (wakristo) Bungeni kama vile ni kikundi cha harakati a.k.a
UAMSHO-B wakati waislam wamekuwa na malalamiko ya muda mrefu wasiyaone.
4. Kitendo cha kutaka kuandamana kumuondoa waziri wa Elimu na huku hawakuunga mkono kumuondoa Ndalichako
5. Kitendo cha chadema kutangaza hadharani kuwa kitapambana na yeyote atakayepinga maslahi yao na huku wakiwa
hawana vyombo vya dola - Dr. Slaa
6. Kitendo cha kutangaza Nchi haitatawalika tena
7. Kitendo cha kumwita Rais Ni mwasisi wa UDINI wakati sote tunajua udini ulitokea wapi - 2010
8. Kitendo cha kumwita rais dhaifu.
9. Vifo vinavyotokea kwenye mikutano ya chadema viwe vimeandaliwa au action of the moment.
10. Kitendo cha chadema kushutumu na kukandia USALAMA WA TAIFA bila kuthamini mchango wao kwenye amani yetu.
11. Kiendo cha kuwadharau WAZANZIBARI.
12. Nk, Nk. Nk.

Hizi zote ni turufu kwa CCM mtake msitake. Wananchi wana akili za kuchambua na kuona. Tutashuhudie CDM ikibaki TANZANIA DAIMA, JF, KUMBI, MAGARI M4C, ITV, REDIO ONE NA KWENYE MADHABAHU. NA SIO KWENYE NYOYO ZA WATANZANIA WALIO WENGI.

KWA MZIKI HUU WA CCM TUTASHUDIA MENGI. NAMI NITAKUWA SHAHIDI KWENU.

schlumbeger!!!! a.k.a mzee wa ukweli, fitina kwangu mwiko!
 
Kweli Nape anatakiwa amtafute baba yake kwanza maana uropokaji wake tunawasiwasi na malezi yake kama kweli alilelewa vizuri. Pili atuambie CCJ aliunda ya kazi gani kama siyo kuganga njaa? Hana lolote huyo labda aliongea akkiwa amelewa maana anatumia sana pombe kali!
Nape tafuta baba yako kwanza.pili mhamishe shemeji bagamoyo watu wanamgalagaza tu kwenye mitaro
 
Wewe umelewa mataputapu na kujifanya hujui kasi ya CDM. Subiri 2015 tuone utakwenda wapi! Tunajua utakimbiliia Somalia na magaidi wenzako!
Haya matukio yanayoendelea yatawagharimu sana Chadema.

1. Tukio la mkanda wa Lwakatare (UGAIDI)
2. Tukio la kufukuzwa Lissu na wenzake Bungeni
3. Tukio la wabunge wa chadema kutetea maslahi ya kanisa (wakristo) Bungeni kama vile ni kikundi cha harakati a.k.a
UAMSHO-B wakati waislam wamekuwa na malalamiko ya muda mrefu wasiyaone.
4. Kitendo cha kutaka kuandamana kumuondoa waziri wa Elimu na huku hawakuunga mkono kumuondoa Ndalichako
5. Kitendo cha chadema kutangaza hadharani kuwa kitapambana na yeyote atakayepinga maslahi yao na huku wakiwa
hawana vyombo vya dola - Dr. Slaa
6. Kitendo cha kutangaza Nchi haitatawalika tena
7. Kitendo cha kumwita Rais Ni mwasisi wa UDINI wakati sote tunajua udini ulitokea wapi - 2010
8. Kitendo cha kumwita rais dhaifu.
9. Vifo vinavyotokea kwenye mikutano ya chadema viwe vimeandaliwa au action of the moment.
10. Kitendo cha chadema kushutumu na kukandia USALAMA WA TAIFA bila kuthamini mchango wao kwenye amani yetu.
11. Kiendo cha kuwadharau WAZANZIBARI.
12. Nk, Nk. Nk.

Hizi zote ni turufu kwa CCM mtake msitake. Wananchi wana akili za kuchambua na kuona. Tutashuhudie CDM ikibaki TANZANIA DAIMA, JF, KUMBI, MAGARI M4C, ITV, REDIO ONE NA KWENYE MADHABAHU. NA SIO KWENYE NYOYO ZA WATANZANIA WALIO WENGI.

KWA MZIKI HUU WA CCM TUTASHUDIA MENGI. NAMI NITAKUWA SHAHIDI KWENU.

schlumbeger!!!! a.k.a mzee wa ukweli, fitina kwangu mwiko!
 
Confirmed beyond reasonable doubt kwamba mambo ya video ya Lwakatare ni mambo ya kupikwa. Maana Nape kaenda mbele zaidi. Tunashukuru kupata uthibitisho kwa Nape kuwa hili ni jambo la kisiasa kama alivyolianzisha Mwigulu pale StarTV. Thank you Napegwa!
 
Back
Top Bottom