Nnashida na internet kwenye outlook

Nnashida na internet kwenye outlook

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,270
Reaction score
536
Heshima mbele wakuu!
Natumia Macbook na natumia Nokia E71 kama wireless router. Tatizo ni kuwa naweza kusurf kwenye internet bila shida ila internet hiyo haitumiki kwenye outlook ambayo ndiyo default internet browser yangu. Naomba msaada wajameni ili nifaidi bila chenga. Nikitumia modem ya kawaida napata bila shida, tatizo ni pale nnapotumia wireless. Asante
 
Heshima mbele wakuu!
Natumia Macbook na natumia Nokia E71 kama wireless router. Tatizo ni kuwa naweza kusurf kwenye internet bila shida ila internet hiyo haitumiki kwenye outlook ambayo ndiyo default internet browser yangu. Naomba msaada wajameni ili nifaidi bila chenga. Nikitumia modem ya kawaida napata bila shida, tatizo ni pale nnapotumia wireless. Asante
Duh,inawezekana mimi hiki kitu sikijui au wewe umekosea maelezo yako outlook kwa kaufahamu kangu siyo browser ni program inahusika na mambo ya e-mails.Browser nikama internet explorer,firefox,safari,opera,google chrome na zingine.
Naomba ufafanuzi kidogo sijakuelewa maelezo yako?Pia simu kutumika kama router ndiyo leo nimeipata kwako,labda uko sahihi mimi sijawahi fanya hiyo kitu,wanajamvi watachangia si unajua tunatofautiana ufahamu.
 
mkuu maelezo yako yanajichanganya sana...kama alivyosema Aqua hapo juu..inawezekana unatumia simu ku provide wireless internet kwa pc yako (ingawa nahisi ni kwa bluetooth au hizi tithering/hotspot method) ...sasa kama unauwezo wa ku surf internet unatumia nini...internet explorer, firefox, chrome au nini..?(hizi ndo browser sasa) na sio outlook kama ulivyosema...outlook ni kwa ajili ya email things ...NA HAIWEZI KUFANYA KAZI mpaka iwe configured kwanza kwa email address yako , password na server settings zengine za hiyo email ndo itafanya kazi kupokea email zako (kwa sasa ni yahoo tu ndo wamebana kuweka email free kwa outlook ila zingine zote ni free na server settings zake zimejaa tele online ukisearch, hata kwa yahoo pia kuna njia za ujanja kama kutumia ypops unaweza kuset ila ni sumbufu maana yahoo wanataka ulipie)..

so weka vizuri maelezo yako kama msaada huu haujakusaidia..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom