Nna mimba. . .

Hahahahaha. . . yani mpaka ukaenda clinic kabla ya muda?
Hongera mwaya. . .

Furaha yangu ilikuwa si ya kawaida, so nilikuwa curious kufanya chochote kinachohusu mimba.

Ahsante Lizzy, ukweli sifa na utukufu namrudishia Mungu, maana nilipitia 9months ngumu zenye kash kash na mapito mengi.
 
ofu kozi, ila ananifukuza ndani
anaona aibu nikimuona kwenye state ile.

So nilikuwa nasubiri kwanje.
It was so hard, labda mzunguko nilofanya hapo ni sawa na kutoka Dar hadi Cape Town.

We Mtindi nawe. . .
Haya bana. . .Next time utamsindikiza tena?
 
Furaha yangu ilikuwa si ya kawaida, so nilikuwa curious kufanya chochote kinachohusu mimba.

Ahsante Lizzy, ukweli sifa na utukufu namrudishia Mungu, maana nilipitia 9months ngumu zenye kash kash na mapito mengi.
I know. . .I know!!

Ohhh pole kwa misuko suko mwaya. . .wengine hua mwili tu ndio unaongezeka, mambo mengine kama kawaida.
 
ofu kozi, ila ananifukuza ndani
anaona aibu nikimuona kwenye state ile.

So nilikuwa nasubiri kwanje.
It was so hard, labda mzunguko nilofanya hapo ni sawa na kutoka Dar hadi Cape Town.
Ahhhhh it's not a pretty picture aisee.
Alafu nikifikiria kama unajali kweli alafu mwenzio yuko ndani analia tu maumivu lazima upunguze kitambi kidogo.
 
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?

Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje?

Mawazo gani yaliwapitia kichwani??

Just CURIOUS. . . .
Basically Uliuza mechi,sasa inategemea uliiuza katika mazingira yepi,hapo ndo maswali mia yanaaznia
 
alisema hivo hivyo
eti ntapata trauma nimkimbie.

Hapo mie ndo hunifanya niwapende wamama jamani.

Ahhhhh it's not a pretty picture aisee.
Alafu nikifikiria kama unajali kweli alafu mwenzio yuko ndani analia tu maumivu lazima upunguze kitambi kidogo.
 
i was extremely happy 'cause we planned for it. Mwanzoni tulikuwa disappointed kwani mara baada ya kuangalia kifaa cha kupimia ilionekana kama haikushika lakini nadhani hatukuicheki fresh. lakini siku kama tano baadaye tukajaribu kupima tena tukapata what we were looking for a long time. Furaha yetu ilkuwa from deep inside of our hearts.
 
Mi nikidhani ni wewe mwenyewe ndo wamekumimba ! Kumbe maujumla! Endeleeni mi naenda kunyoa.
 
So unamwambia jamaa nna mimba ..ye anakwambia "kwa hiyo sipati mechi kuanzia lini. "...?
 
first question: yangu ?
la pili (kama la kwanza ni ndio) : una miaka mingapi?unasoma?form ngapi? kama majibu ni 16, 3 nakimbia mji namwambia mimba kwetu huwa hazitolewi ukito unakufa.
 
Nilishtuka sana,maana ndio tu nilokuwa nimemaliza chuo na sina mchongo wowote wa maana zaidi ya kupiga skrepa buguruni.dah ilinichanganya ila baadae nilikomaa kibingwa and i acepted the situation.
 
unasema kweli mpenzi? Umenifurahisha sana na siamini kama ntakuwa baba, baada ya kuzaa mtoto si wangu usinithumbue
 
To be honest nilihaha sana mana demu mwenyewe alikua wakusoma, hatimaye akapata vidonge flani ambavyo katika kuvitumia alitakiwa asile kitu all the day, na katika kuvitumia akatakiwa avimumunye kama pipi. Ndo vikamsaidia.
 
vikamsaidia nini? Kuchoropoa au? Ungemalizia mkuu?
 
To be honest nilihaha sana mana demu mwenyewe alikua wakusoma, hatimaye akapata vidonge flani ambavyo katika kuvitumia alitakiwa asile kitu all the day, na katika kuvitumia akatakiwa avimumunye kama pipi. Ndo vikamsaidia.

vikamsaidia nini? Kuchoropoa au? Ungemalizia mkuu. Funguka my fellow learned brother,make u're isue to be a precedent here fol all who deals with haki elimu/wakusoma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom