Nna mimba. . .

Wife akiwa ana mimba huwa na furahi tu, uwezo wa kumlea mtoto ni nao, sababu za kumzalisha mke wangu nazo, niya ya kumzalisha watoto wengine ninayo, na uwezo wa kuoa mke mwingine azae kama wife ninao :cool2:
 
Lizzy ukweli ni huu,
Hakuna majibu yanafanana kwa jibu lako. Lakini siku mwanamke akisema ana mimba situation will determine the answer.
1.0 Kama ni mtu aliye katika ndoa na alikuwa amepanga itakuwa ni furaha.
2.0 Kama ni mtu ambaye ana boyfriend/girlfriend ambao wanamalengo mazuri haitakuwa shida sana.
3.0 Kama walikuwa ni watu wanaenyoj tu basi tafrani inaweza kuzuka.
4.0 Katika situation zote 1 - 3 kama hakukuwa na mpango au mimba imekuja kama ajali basi shida inaweza kutokea napo.

Nadhani hizo ndiyo common situation na suspected answers.

Hata hivyo heading ilinishitusha mpaka nikaacha mambo ya Arumeru nikijua umenasa kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh japokuwa kunasa siyo ajabu wala issue.

Narudi Arumeru karibu Lizzy tumtoe Nassari.
 
Hongera Fazaa isipokua hapo kwenye kuongeza mke.
 
Lizzy mie nilikuwa nasikai raha sana kila saa nashika tumbo langu halafu nilivyokuwa na akili mbofu mbofu
Nilikuwa natamani tumbo likue hata siku moja mimba ionekane..
Ni raha !
 
Losambo nimekupata babaangu. . .
Hehehehehe. . .Yani mpaka Sioi ukamuacha kisa Lizzy 'ana mimba'?! Nipe zawadi kabisa basi.

Alafu na mie nakuja kupiga kura.
 
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?

Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje?

Mawazo gani yaliwapitia kichwani??

Just CURIOUS. . . .

Sijui una maana gani unaposema 'mwenzio' lakini mimi nilipoambia hivyo na mke wangu nilisema waaaao! nitaitwa baba si muda mrefu
 
Lizzy mie nilikuwa nasikai raha sana kila saa nashika tumbo langu halafu nilivyokuwa na akili mbofu mbofu
Nilikuwa natamani tumbo likue hata siku moja mimba ionekane..
Ni raha !

Hahahaha hata sio ujinga mama wa kwanza. Ndio raha na mapenzi yenyewe hayo.

Hongera mwaya.
 
Hongera Fazaa isipokua hapo kwenye kuongeza mke.
Asante sana sasa nikiongeza kuna kosa gani....Afu simpaka niongeza, mana lazima wife na mama yangu mzazi watanishambulia tu, anavyo dekeshwa mke wangu na mama yangu mzazi utadhani mtoto wake wa kumzaa :cool2:
 
Sasa huyo ndio mama mkwe. . .jaribu kama hawajakufukuza nyumbani. Lolzzz

Nwy. . .We unataka kuongeza ili upate kipi ambacho mkeo hakutimizii? Kama hamna mapungufu usijaribu kurekebisha.
 
Lizzy mie nilikuwa nasikai raha sana kila saa nashika tumbo langu halafu nilivyokuwa na akili mbofu mbofu
Nilikuwa natamani tumbo likue hata siku moja mimba ionekane..
Ni raha !
Kumbe wakati unabeba mimba ulikuwa huna akili sawa sawa.
 
Hahahaha. . .
Alafu? Ilikua kweli au alikua anakuzingua?

Ilibidi nirudi pale tulikostareheshana nikachukue kwanza tarehe pale afu nikalazimisha mpaka tukaenda hosp kucheki. Kweli alikuwa na mimba! Mwanaume kijasho chembamba nikakumbuka toa, jumlisha, zidisha gawanya haikusaidia kitu mwanangu! Binti alikomaa huyo kila siku ntafanyaje maana wazee wakijua noma! Kikao cha wataalamu na mafundi wa kushauri wakanambia kama kweli ulitumia kinga hapo unapigwa changa la macho! Wakanambia kuna kipimo kimoja sasa kinaweza kutoa mwanga! ULTRA SOUND! Si tukaenda mwana! Salaaaaaaaaaaale ana mimba ya miezi 3 wakati tumemegana hata wiki tatu bado! Tuliachania pale pale hospitali!
 
Hahahahaha. . .
Hapo mtoto angezaliwa sijui angekwambia ni premature. . .? Kweli wadada wengine ni noma.
 
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?

Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje?

Mawazo gani yaliwapitia kichwani??

Just CURIOUS. . . .

hii kitu ilimtokea mshikaji wangu wakike basi nikamwambia ailee cha ajabu huu ni mwaka wa pili siioni akijifungua balaa tupu sijui iliishia wapi nakumuuliza naona soo..
 
Sasa huyo ndio mama mkwe. . .jaribu kama hawajakufukuza nyumbani. Lolzzz

Nwy. . .We unataka kuongeza ili upate kipi ambacho mkeo hakutimizii? Kama hamna mapungufu usijaribu kurekebisha.
Hapa ndo napo paogopa kwenye highlighted , ndo mana najirudi nikitaka kuchukua uamuzi huo.

Kuhusu wife ni super kabisa hakuna problem, basi ni nyege tu zinanisumbua, labda tatulizana siku za mbele :cool2:
 
Lizzy ukweli ni huu,
Hakuna majibu yanafanana kwa jibu lako. Lakini siku mwanamke akisema ana mimba situation will determine the answer.
1.0 Kama ni mtu aliye katika ndoa na alikuwa amepanga itakuwa ni furaha.
2.0 Kama ni mtu ambaye ana boyfriend/girlfriend ambao wanamalengo mazuri haitakuwa shida sana.
3.0 Kama walikuwa ni watu wanaenyoj tu basi tafrani inaweza kuzuka.
4.0 Katika situation zote 1 - 3 kama hakukuwa na mpango au mimba imekuja kama ajali basi shida inaweza kutokea napo.

Nadhani hizo ndiyo common situation na suspected answers.

Hata hivyo heading ilinishitusha mpaka nikaacha mambo ya Arumeru nikijua umenasa kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh japokuwa kunasa siyo ajabu wala issue.

Narudi Arumeru karibu Lizzy tumtoe Nassari.

kwani wewe ni lawyer au umekaa kisheria zaidi duu asante kwa ufafanuzi wa swali la lizzy bomba..
 
hii kitu ilimtokea mshikaji wangu wakike basi nikamwambia ailee cha ajabu huu ni mwaka wa pili siioni akijifungua balaa tupu sijui iliishia wapi nakumuuliza naona soo..

Labda alitoa. . .
Au ilitoka. Sema kama mwenyewe hajaongelea pengine alikua anahisi tu kua anayo au ndo kama hivyo aliishia kutoa.
 
Hapa ndo napo paogopa kwenye highlighted , ndo mana najirudi nikitaka kuchukua uamuzi huo.

Kuhusu wife ni super kabisa hakuna problem, basi ni nyege tu zinanisumbua, labda tatulizana siku za mbele :cool2:

Usisubiri kutulia baadae. . . utajatulizwa na magonjwa!!!
 
Back
Top Bottom