Nna mimba. . .

Nilifurahi sana, na ndiyo moja ya sababu iliyopelekea nimuoe

Hongera bana.

@QK. . . Pole yake aiseee. Watu wengine wanakuaga wepesi kutoa bila kujua ni kiumbe kabisa chenye kichwa na vimiguu.
 
what a wonderful day will be if that will happen to me!!!!!

Jaku tengeneza mazingira kama unapenda kuwa baba mtarajiwa na hatimaye baba. Kwanini uishie kutamani tu kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wako?
 
Wifi huyo alikuwa kiboko lol...hana aibu kumsingizia mtu mimba?..afu ya miezi mingi hivyo khaaa.

Khaaa wifi wanawake wengine wanatakiwa kufungiwa jiwe shingoni watupwe baharini. Halafu mtoto akiwa mkubwa anamweleza baba alisi
 
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?

Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje?

Mawazo gani yaliwapitia kichwani??

Just CURIOUS. . . .

yani mimi nilijawa na nguvu ya ajabu ambayo iliongezeka siku hadi siku ya kuwa mi ndo mlinzi wa kile kiumbe nilikuwa tayari kwa chochote ili kukilinda na mpaka leo najisikia mwenye majukumu makubwa ya kumlinda na mwisho nilimkabidhi kwa MUNGU
 
Nilikuwa na safari ya kwenda kwa mwajiri wangu wa awali. Tulikuwa hatujaonana almost mwezi naa, alikuwa safarini. Aliposikia safari tu akarudi na akasema huwazi kwenda mwenyewe (wivu)

Nikamwamia twende, tukaenda. Ndiko mimba ilikotengenezwa, baada ya mwezi sikuona, kumwambia akasema labda umepitiliza tu. nikamwambia twende hosptali, tukaenda, vipimo vikajibu. Hakuonyesha kufurahi wala kukasirika.

As for me, nilifurahi saana saana, nilianza kunu ua matenite hata kabla tumbo halijtoka. Na nilianza clinic hata huko clinic wakashanggaa, eti si ungesubiri walau iwe ya miez mi2 au mi3.

Leo naitwa mama. Hallelluyah
 
Nilichekelea kila story mgundini, kutokana na furaha kubwa nilokawa nayo! Hatimae after 9months nikapata my first borne baby girl! Kidume nikatangaza ushindi, like father like daughter!
 
yani mimi nilijawa na nguvu ya ajabu ambayo iliongezeka siku hadi siku ya kuwa mi ndo mlinzi wa kile kiumbe nilikuwa tayari kwa chochote ili kukilinda na mpaka leo najisikia mwenye majukumu makubwa ya kumlinda na mwisho nilimkabidhi kwa MUNGU
Hongera sana Ma dou dou.
Kashakua sasa ehhhh?
 
Nilikuwa na safari ya kwenda kwa mwajiri wangu wa awali. Tulikuwa hatujaonana almost mwezi naa, alikuwa safarini. Aliposikia safari tu akarudi na akasema huwazi kwenda mwenyewe (wivu)

Nikamwamia twende, tukaenda. Ndiko mimba ilikotengenezwa, baada ya mwezi sikuona, kumwambia akasema labda umepitiliza tu. nikamwambia twende hosptali, tukaenda, vipimo vikajibu. Hakuonyesha kufurahi wala kukasirika.

As for me, nilifurahi saana saana, nilianza kunu ua matenite hata kabla tumbo halijtoka. Na nilianza clinic hata huko clinic wakashanggaa, eti si ungesubiri walau iwe ya miez mi2 au mi3.

Leo naitwa mama. Hallelluyah

Hahahahaha. . . yani mpaka ukaenda clinic kabla ya muda?
Hongera mwaya. . .
 
Back
Top Bottom