Nna mimba. . .

Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?

Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje?

Mawazo gani yaliwapitia kichwani??


Just CURIOUS. . . .

...mnh, nahisi kama kuna mtu kaniharibia Lizzy wangu,
mimba, mimba, mimba....khaaaaa?
 
"Alikuwa na raha sana alipopata mimba yake ya kwanza baada ya kushirikiana tendo la ndoa na mumewe miaka minne bila ya kupata mimba hata siku moja.
Bahati mbaya ikatoka akabaki na huzuni sana, na mumewe kamuacha baada ya mimba kutoka kwani amehisi kaitoa makusudi wakati ni bahati mbaya!"

Da Lizzy, kila mtu ana mapokeo yake pale apatapo mimba, kuna mwingine huwa na furaha sana kwani yawezekana ndio mtoto tu amekosekana kumalizia furaha ya ndoa. Lakini muda mwingine mambo huwa kinyume kabisa dada akipata mimba huanza kuwaza maisha jinsi yalivyo magumu na matatizo ya ndugu jinsi watakavyoipokea hivyo huamua kuitoa tu.
 
kwanza sm ilikatika ghafra. baada ya hapo hakupokea sm for 3 weeks. 2livofungua chuo nikarudi ir jin nikaenda kwake. hakunipokea kwa furaha kama sku zingine. alionekana ana mawazo. n asubh tukaongea kwa kina akawa ananiangalia kwa huruma. badae akaniambia '' cjawahi kuwaza kuwa na mtoto kabla cjafunga ndoa so kama vipi SEMA NIKUPE SH NGAPI UKATOE''
 
Inategemea ni nani?Kama ni mwanafunzi au ambaye ataniletea soo namwambia katoe na nampa pesa yy ndo anajua atatolea wapi,kama hataniletea soo namwambia tutalea na nampa pesa za matumiz kama kawa!(Trueth)
 
Back
Top Bottom