Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

mmmh, huyo noma, bangi sio mchezo ati, au ndo zinamletea stimu ya kusepetuka kwa 6x6? any way,usimuache wala usimkacrikie japo alishindwa kuwa wazi kwako tangu awali. Sasa mwambie tu kwa utaratibu kuwa tabia hiyo huitaki, and more over, mtafutie mshauri nasaha ili afanyiwe counseling atabadilika tu!
 
Sasa kilichokushtua na kukushangaza ni kipi?
bangi ni starehe kama starehe zingine kwani ukipita bar ukakuta watu wanakunywa utashtuka na kushangaa????
acha hizoooooo

Na nani kakuambia ukivuta bangi unapoteza fahamu?
ushawahi kuona onyo "uvutaji wa bangi ni hatari kwa afya yako?
muache mkeo ale raha za dunia maisha yenyewe mafupi haya.....kurudisha jezi ni muda wowote!!!!
Kama kuna mtu ambae haelewi michango yako, basi ana matatizo, unajua/unaweza namna ya kufikisha ujumbe
 
Hapo ni kuvumilia tu mkuu, au kumpeleka sober, kama ni bangi watakuwa wameshamzibua tigo si unajua inaleta usingizi mzito ile.we vumilia tu

Vp kaka bado hujapata ela na wew uowe uone utamu wa ndoa na uchungu wake
 
Harufu ya sigara mbona hubakia muda mrefu? Kipindi chote hicho ushindwe kugundua??
 
Miaka 5 ya mahusiano.Miaka 2 ya ndoa kwa kweli nina ulakini wa ulichoandika na ulichokiona...

Ushauri kaa nae uongee nae kiutulivu mwambie hiyo tabia haindani na mfumo wa maisha yako kama aliogopa kukueleza hapo zamani basi ataogopa msimamo wako
 
Yes.

But wait a minute. Is this an interview??

Cut the chase and go straight to the point.

Mr goody two shoes huyo...
People are so judgmental hadi wanakera
Yes I smoke weed and I will not hide that fact and I'm a very responsible human than them nonsmoking humans
 
Mr goody two shoes huyo...
People are so judgmental hadi wanakera
Yes I smoke weed and I will not hide that fact and I'm a very responsible human than them nonsmoking humans
He who chooses to judge me had alot if time on his hands and wants to waste it. I dont care.
 
Kawqida tu huyo mbona ww unakamua ngano zote ni Sawa tuu kuwa mpole na uheshimu uheshimiwe
 
kumbe anavuvuta hupiga mswaki na kula vitu kama pipi kali kuondoa harufu. nilikuwa nikiona akinunua nikadhani ni kila mtu hupenda atakacho kumbe alikuwa na kusudio maalum

TP bana kila siku vituko ni wewr tuuuuuu ahahahahaha
 
Back
Top Bottom