Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

jamaa amejibu lakini hayatoshelezi, kuweza kumpa ushauri wa maana....

jumla upo nae kwa jumla miaka 7 ya mahusiano na kufahamiana, leo hujui kuwa navuta bangi....? tpmazembe hauko siriasi ikiwa hii ni kweli kabisa.... ujue suala la mahusiano ni nyeti sana, zaidi ya nyeti unazozijua.

huwezi kuwa na mke ambae hujui anachokifanya...
hauko makini...nasema hauko makini! haufai kuwa mume!
Tatizo anafanya siri, yaribu kufikiri nimerudi home gafla saa tano asubuhi namkuta anavuta na kawaida yangu kurudi saa mbili night na anavuta mara mbili au tatu kwa wiki ,sasa akivuta muda huo na kupigwa mswaki na kula pipi kali na mpaka saa mbili usiku utakuta nini?na yeye alikuwa kakusudia kunificha milele.
 
Nama_Woman_Smoking_Kalahari_Desert_Namibia_Luca_Galuzzi_2004.JPG

Huyu hajatumia Rizla.
 
Nimestushwa na kushangazwa kurudi home gafla na kumkuta mke wangu akivuta bangi

Sasa kinachoniumiza mimi ni kuwa wakati anafundishwa kuvuja bangi alifanywa matendo gani? maana ulevi kama huo mtu kupoteza fahamu ni kawaida.hapa niko njia panda naona kama najibebesha zigo bora kulitua.ushauri wadau.

Sasa kilichokushtua na kukushangaza ni kipi?
bangi ni starehe kama starehe zingine kwani ukipita bar ukakuta watu wanakunywa utashtuka na kushangaa????
acha hizoooooo

Na nani kakuambia ukivuta bangi unapoteza fahamu?
ushawahi kuona onyo "uvutaji wa bangi ni hatari kwa afya yako?
muache mkeo ale raha za dunia maisha yenyewe mafupi haya.....kurudisha jezi ni muda wowote!!!!
 
Nimestushwa na kushangazwa kurudi home gafla na kumkuta mke wangu akivuta bangi chumbani huku akiwa na packti ya sigara.Nilpomuuliza akajibu alikuwa akivuta tangu zamani ila kwa wiku huvuta kama mara tatu tu.
Nilipomuuliza alijifunzaje akanijibu alifundishwa na ex boyfriend wake maana alikuwa kila wakikutana usiku lazima avute bangi nyingi na nirungi na yeye alikuwa akimsaidia kuwasha bangi hiyo hivyo moshi ule ukamuungia damuni na kujikuta akikaa kama siku tano hajavuta bangi au sigara husikia kizunguzungu na kuto kuwa sawa.

Sasa kinachoniumiza mimi ni kuwa wakati anafundishwa kuvuja bangi alifanywa matendo gani? maana ulevi kama huo mtu kupoteza fahamu ni kawaida.hapa niko njia panda naona kama najibebesha zigo bora kulitua.ushauri wadau.
Pole sana!! Ulifanya utafiti wa kutosha kumpata mkeo huyo?? Hapo ni trailer tu utayaona mengi.
 
anavuta bangi mara tatu kwa wik halafu hujawah kuhis hata kidogo? i doubt kama mkeo ni rafik yako.
 
Sasa kilichokushtua na kukushangaza ni kipi?
bangi ni starehe kama starehe zingine kwani ukipita bar ukakuta watu wanakunywa utashtuka na kushangaa????
acha hizoooooo

Na nani kakuambia ukivuta bangi unapoteza fahamu?
ushawahi kuona onyo "uvutaji wa bangi ni hatari kwa afya yako?
muache mkeo ale raha za dunia maisha yenyewe mafupi haya.....kurudisha jezi ni muda wowote!!!!

kwa uzoefu nilikopita tangu mdogo wavutaji bangi ni watu wenye maamuzi yasiyo ya busara na naona ni harati kukaa ndani na mvuta bangi
 
kwa uzoefu nilikopita tangu mdogo wavutaji bangi ni watu wenye maamuzi yasiyo ya busara na naona ni harati kukaa ndani na mvuta bangi

Unajidanganya asilimia 800 na utuombe msamaha alaaaaah!!!!!!!
 
ngoja na mimi nipite kimya mpaka utakapo jibu maswali hayo hapo juu.
ndio na mim nimwage neno.

maana hii ishu ni nzito kidogo MKUU kama kweli upon serious.

maaana kuna kauli ambayo unaisisitiza inanitia mashaka coz unataka kulazimisha wadau waijadili hiyo.juu ya kufanyiwa michezo michafu Hugo mkeo pindi alupokuwa ametinga

nina miaka 2 naye kama wana ndoa. ila kimauhusiano zaidi ya 5yrs.
huwa narudi saa moja or saa mbili night na kutoka saa kumi na mbili asubuhi .jtatu to jmosi.jpili huwa home

Tatizo anafanya siri, yaribu kufikiri nimerudi home gafla saa tano asubuhi namkuta anavuta na kawaida yangu kurudi saa mbili night na anavuta mara mbili au tatu kwa wiki ,sasa akivuta muda huo na kupigwa mswaki na kula pipi kali na mpaka saa mbili usiku utakuta nini?na yeye alikuwa kakusudia kunificha milele.
hakuna usiri kwa watu wanaoishi pamoja, una mamlaka zaidi ya kuingia na kungalia chochote, labda uniambie unaishi na mkeo ukiwa sio rafiki yake....
 
hakuna usiri kwa watu wanaoishi pamoja, una mamlaka zaidi ya kuingia na kungalia chochote, labda uniambie unaishi na mkeo ukiwa sio rafiki yake....

Sasa nitapekuwa mabegi ya nguo mkuu? Unajua wanaume tulivyowavivu kwenye kupanga nguo
 
Back
Top Bottom