Nimestushwa na kushangazwa kurudi home gafla na kumkuta mke wangu akivuta bangi chumbani huku akiwa na packti ya sigara.Nilpomuuliza akajibu alikuwa akivuta tangu zamani ila kwa wiku huvuta kama mara tatu tu.
Nilipomuuliza alijifunzaje akanijibu alifundishwa na ex boyfriend wake maana alikuwa kila wakikutana usiku lazima avute bangi nyingi na nirungi na yeye alikuwa akimsaidia kuwasha bangi hiyo hivyo moshi ule ukamuungia damuni na kujikuta akikaa kama siku tano hajavuta bangi au sigara husikia kizunguzungu na kuto kuwa sawa.
Sasa kinachoniumiza mimi ni kuwa wakati anafundishwa kuvuja bangi alifanywa matendo gani? maana ulevi kama huo mtu kupoteza fahamu ni kawaida.hapa niko njia panda naona kama najibebesha zigo bora kulitua.ushauri wadau.