Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Nimestushwa na kushangazwa kurudi home gafla na kumkuta mke wangu akivuta bangi chumbani huku akiwa na packti ya sigara.Nilpomuuliza akajibu alikuwa akivuta tangu zamani ila kwa wiku huvuta kama mara tatu tu.

Nilipomuuliza alijifunzaje akanijibu alifundishwa na ex boyfriend wake maana alikuwa kila wakikutana usiku lazima avute bangi nyingi na nirungi na yeye alikuwa akimsaidia kuwasha bangi hiyo hivyo moshi ule ukamuungia damuni na kujikuta akikaa kama siku tano hajavuta bangi au sigara husikia kizunguzungu na kutokuwa sawa.

Sasa kinachoniumiza mimi ni kuwa wakati anafundishwa kuvuja bangi alifanywa matendo gani? maana ulevi kama huo mtu kupoteza fahamu ni kawaida.hapa niko njia panda naona kama najibebesha zigo bora kulitua.ushauri wadau.
 
Nikamuuliza kwa nini hakuniambia tangu awali akasema aliogopa maana aliniona mi sio mvutaji akaogopa niingemuacha hivyo akawa akijificha.
 
hapo ni kuvumilia tu mkuu, au kumpeleka sober, kama ni bangi watakuwa wameshamzibua tigo si unajua inaleta usingizi mzito ile.we vumilia tu
hahahahahahahahahahahahahahahah
 
wife mkuu. inaniuma sana. nawasiwasi katika uvutaji bangi atakuwa kachezewa sana
nina maswali magumu ambayo yanapima uwezo wako wa kiakili pia... ngoja tuanze kidogo;
1. je unae muda gani nae tangu uoe na pia umemfahamu muda gani kabla ya kumuoa?
2. je huwa unarudi muda gani kila siku? tuanze hapo!
 
Duh pole mkuu, hapo inabidi ufanya ushauri wa kutosha ili aache kuvuta bangi.........!!
 
Acha uongo kaka. Mvuta sigara mara zote hunuka harufu ya sigara. Kusema kwamba hukujua ni uongo tu mkuu
 
Huyo siyo rizki na achana naye utazaa mapunguani hadi uchoke. Mi sio Dr. ila uliza madhara ya sigara na bangi kwa mtoto aliye kwa tumbo
 
Yan mpaka selection ztoke,humu ndan ndo kutatulia fm4 wamevamia humu kila baada ya lisaa kaanzsha uzi,ukikua utaacha.
 
Pole mzee wa motema pembe.! Dah unaweza kuta namjua mkeo hivi hivi manake kuna swaga flani hivi zinannijia japo mvuta bang.i mstaafu hasahau alikopitia. Mkeo jinale nani.? Ni pm kama vipi.
 
wife mkuu. inaniuma sana. nawasiwasi katika uvutaji bangi atakuwa kachezewa sana

Hebu kuwa muwazi
Inaonekana hakuna mchezo wowote mchafu uliogundua kama kachezewa, mchezo gani hautavumilia ukigungua mkeo kachezewa?
 
nina maswali magumu ambayo yanapima uwezo wako wa kiakili pia... ngoja tuanze kidogo;
1. je unae muda gani nae tangu uoe na pia umemfahamu muda gani kabla ya kumuoa?
2. je huwa unarudi muda gani kila siku? tuanze hapo!

nina miaka 2 naye kama wana ndoa. ila kimauhusiano zaidi ya 5yrs.
huwa narudi saa moja or saa mbili night na kutoka saa kumi na mbili asubuhi .jtatu to jmosi.jpili huwa home
 
nina maswali magumu ambayo yanapima uwezo wako wa kiakili pia... ngoja tuanze kidogo;
1. je unae muda gani nae tangu uoe na pia umemfahamu muda gani kabla ya kumuoa?
2. je huwa unarudi muda gani kila siku? tuanze hapo!

ngoja na mimi nipite kimya mpaka utakapo jibu maswali hayo hapo juu.
ndio na mim nimwage neno.

maana hii ishu ni nzito kidogo MKUU kama kweli upon serious.

maaana kuna kauli ambayo unaisisitiza inanitia mashaka coz unataka kulazimisha wadau waijadili hiyo.juu ya kufanyiwa michezo michafu Hugo mkeo pindi alupokuwa ametinga
 
Back
Top Bottom