Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

Kwanza naomba nidiklee upande. Mimi sivuti kabisa na wala sijawahi vuta. Ila nafahamu watu kibao wanao vuta na wako responsible kuliko hata hao wasiovuta. The fact kwamba umekuwa naye 7 damn years na hukuweza kugundua. Hiyo inaonyesha huyo shemeji yetu yuko responsible kwa kuwa hajakupa sababu ya kum suspect. So hayo unayowaza sijui kavurugwa na mijamaa ni kuwa yako kichwani kwako
Kuna mademu ukiwaona muonekano wao utsema umekutana na malaika kumbe ni mbwamwitu waliovaa ngozi ya kondoo. Kuna mademu wawili nawajua wamevuta hiyo kitu huko nyuma na sass wana maisha yao mazuri tu. Wana biashara zao yaani wako vizuri. Kiasi kwamba ukiambiwa huta amini kirahisi.
Mbona tumeona viongozi wavutaji,wahadhiri wa vyuo vikuu, Maafisa wakuu watendaji tena kwenye taasisi kubwa tu. Na kuna watu wengi wehu kabisa na hawajawahi kuvuta hata sigara tu. Bangi hii hii wengine inawatuma kufanya mambo productive ktk society zao. Mfano mzuri ni Robert Nesta Marley na mkewe Rita. Wametunga nyimbo zao ambazo hadi leo tunazicheza na pengine wajukuu zetu watazicheza pia. Ni mitazamo yetu na fikra potofu.
 
Nimestushwa na kushangazwa kurudi home gafla na kumkuta mke wangu akivuta bangi chumbani huku akiwa na packti ya sigara.Nilpomuuliza akajibu alikuwa akivuta tangu zamani ila kwa wiku huvuta kama mara tatu tu.

Nilipomuuliza alijifunzaje akanijibu alifundishwa na ex boyfriend wake maana alikuwa kila wakikutana usiku lazima avute bangi nyingi na nirungi na yeye alikuwa akimsaidia kuwasha bangi hiyo hivyo moshi ule ukamuungia damuni na kujikuta akikaa kama siku tano hajavuta bangi au sigara husikia kizunguzungu na kutokuwa sawa.

Sasa kinachoniumiza mimi ni kuwa wakati anafundishwa kuvuja bangi alifanywa matendo gani? maana ulevi kama huo mtu kupoteza fahamu ni kawaida.hapa niko njia panda naona kama najibebesha zigo bora kulitua.ushauri wadau.

Napata tabu kuamini kama ninkimada au mke...ulimpata wapi? till moro then i realise this fate
 
So what we get drunk,so what we smoke weed,,we just having fun...we dont care who see........leaving young,wild and free...#in wiz-khalifa's voice#.......not my style though..and i dont support.
You've got to be kidding me
 
Isije ikawa imani ya kufukuza majini kwa kutumia bangi, mchunguze kama haendi kwa waganga huyo
 
mpaka hapo una division 5! subili cheti kinakuja. Result slip inkuja wiki ijayo.
 
Back
Top Bottom