Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

Nmeshangazwa kuona mke wangu anavuta bangi

Sasa nitapekuwa mabegi ya nguo mkuu? Unajua wanaume tulivyowavivu kwenye kupanga nguo
ndio maana nasema wewe tatizo, huwezi kupanga nguo, huwezi kufanya kazi za nyumbani, hufanyi chochote kuhusu familia...?
 
Ndoa zina mitihani kweli nakosa ht chakushauri mungu atuhurumie kwakweli
 
Duuuuuuuuuuuuuh!!! porojo tena ngoja niwahi daladala la mbezi maana hapa pameshanuka.
 
usihofie yy kafanyiwa nn maana imeshapita,hofu yako iwe anaweza kukufanyia nn si unajua hawa watu wakiwa wamepiga hiyo mikitu dunia yote wanaiona yao wanaweza lolote
 
Bangi ni tamu wallah....inanipa raha basi tu
mi pia penda sana!!!!
Kweli tamu....hasa uiunge kwa tui la nazi mama, mama, mamaaaaaaa au uungie maziwa freshi kutoka kwa ng'ombe dada, dada, dadaaaaaaaaaaaa
 
usihofie yy kafanyiwa nn maana imeshapita,hofu yako iwe anaweza kukufanyia nn si unajua hawa watu wakiwa wamepiga hiyo mikitu dunia yote wanaiona yao wanaweza lolote
Yaaani siku ukijua watu wangapi wanavuta na jinsi walivyo na hadhi na influence utabaki mdomo wazi!!!!!!
 
Nimestushwa na kushangazwa kurudi home gafla na kumkuta mke wangu akivuta bangi chumbani huku akiwa na packti ya sigara.Nilpomuuliza akajibu alikuwa akivuta tangu zamani ila kwa wiku huvuta kama mara tatu tu.

Nilipomuuliza alijifunzaje akanijibu alifundishwa na ex boyfriend wake maana alikuwa kila wakikutana usiku lazima avute bangi nyingi na nirungi na yeye alikuwa akimsaidia kuwasha bangi hiyo hivyo moshi ule ukamuungia damuni na kujikuta akikaa kama siku tano hajavuta bangi au sigara husikia kizunguzungu na kutokuwa sawa.

Sasa kinachoniumiza mimi ni kuwa wakati anafundishwa kuvuja bangi alifanywa matendo gani? maana ulevi kama huo mtu kupoteza fahamu ni kawaida.hapa niko njia panda naona kama najibebesha zigo bora kulitua.ushauri wadau.

mpeleke akaishi gheto kwa masela
 
Kwani huyo mke bado mpya? Manake kama analipuliza 'angalau' mara tatu kwa wiki, chumbani, harufu ingekuwa haisikiki?

Pole mwaya...nafikiri bangi nacho kileo, ngoja wataalam waje watusaidie, nina imani anaweza kusaidiwa kitabibu...
 
Back
Top Bottom