figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
- Thread starter
- #21
ki modo hicho, kipeleke kwa mustafa hasanali!
Huyu anawika mkuu. Hana manyoya ndo maana anakuchanganya. mia

Wapi haki za wanyama? kanyonyolewa akiwa hai? we ndo uliye mng'oa Dr Uli kucha nn?
Huu sasa ni udharirishaji. Ingekuwa ni Uingereza aliyefanya hivyo angelimwa mvua tatu.