tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 20,875
- 27,199
Nimepimishwa HIV/AIDS kwa lazima aisee.
Kweli huku si Tz
Jamani nipo hospital, kakidonda kamenitoka mdomoni kwa mbaali nikahisi ni homa za usiku.Ss kuja hapa nimepimishwa hadi ngoma hatariiii!
Nasubiri matokeo hapa,japo najiamini ila duu mapigo ya moyooooo.