Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,960
Upungufu wa kinga mwilini,..kuna kitu sikielew,kama ni kwel ni uzushi,kwanin mtu huyu anaezushiwa hudhoofika sana,na magonjwa hayamkwepi,na kwanin akipimwa CD4,chembe nyeupe hushuka saaana tofaut na mwenye afya au anaeumwa kawaida,kwanin kansa pia huwaandama hawa,magonjwa ya ngoz ,kuharisha sana,kwanin yawe haya yote,ni kweli kuna uwezekano hiko kirusi kikawa hakuna,lakin sasa ni kipi kinaleta matokeo hayo ya kinga kupungua na magonjwa kumuandama mtu huyu,manake hapa ishu sio kukifaham kirus kama kipo au hakuna,ishu ni hayo matokeo ya hilo tatzo la upunguf wakinga hyo,heb tusaidiane hapa