Nmeikuta instagram

Nmeikuta instagram

Msibishane, ngoja tutazungumza home! Kwa mila zetu, ni kweli, Mwallu tulishakutoa ktk mali za home, lkn si mbaya, tutakushirikisha. Na ndiyo maana nimeheshimu kauli yako ya kutokuwa tayari.

Eee kaka...naomba tu tuanze mfumo mpya wa ushirikishwaji kwa kila mmoja...kwa maslahi ya familia
 
Uzuri kila mwanamke ana mtizamo wake.
Wengi wenye misimamo km ya huyo binti walikotoka kwao fedha ilikuwa tabu sana au binti kakimbia shule au mijitamaa ya mjini kuishi vizuri kwa kutegemea suruali tu. Kwa mtizamo huo mtabaki kuwa tegemezi milele. Kardashian anapiga mpunga wake mwenyewe
 
Masharo baro na wavaa vidani washakuelewa

Asante dada,
Itakuwa wewe ni manzi ya R
 
Back
Top Bottom