Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Eti sura hata chatu anayo jamani watu wana maneno!!
Wanaume tupo hivyohivyo .... I don't want a broke ass h*e either!!Hii kali
Upuuzi. Ndo mana wangu foreign tu.nyie wakibongo tegemezi sana
Fikra zenu tegemezi,hamna changamoto mwisho .
Ma wanaume walioelezwa hapo bado ni primitive sana.
Anyways siku hizi kila mtu anatafuta kivyake.
He he he Kim kardishan kuishi tegeta sidhani
pesa itamshawishi lol
Hii kali
Hatujakubaliana bado asee
hahaha kwani huyo ng'ombe anakuhusu tena mpaka mkubaliane