NMB yaipa Serikali Gawio la Tsh. Bilioni 45.5

Mafanikio ya NMB na CRDB yanaweza kutokea kwa mashirika mengine ya umma, kama vile TPA, ATCL TRL TP&TC TANESCO...nk. Msajiri wa hazina badala ya kukaa na kusubiri magawio kwenye mashirika haya machache, aanzishe mchakato wa kuthaminisha mashirika yote ya umma, yathaminishwe, yatafutiwe mwekezaji wa kimkakati kisha yaorodheshwe kwenye soko la hisa.
 
Hongera Board,Hongera Management,Hongera wafanyakazi na zaidi Hongera wateja wote..

Kipekee nimpongeze Ruth Zaipuna,Amefanya makubwa ktk kuijenga benki licha ya upinzani mkubwa sana toka ndani na nje ya Bank.

Umahiri ,Ushupavu,Umakini,Ubunifu na weredi wa kiuongozi unaonekana ktk matokeo chanya na endelevu..Numbers hazidanganyi..

Natamani hata mashirika ya umma yapate watendaji wakuu wanaoweza kuleta Tija na maendeleo ya uhalisia..

Ushauri:Serikali isisite kuendelea kuwapa majukumu ya kiutendaji ktk taasisi Za umma (Agencies,Parastatals,Corporation etc) watumishi waandamizi toka ktk sekta binafsi (Taasisi zinazofanya vema)..

Tusiwe wepesi kutafuta wageni kuja kiendesha mashirika yetu..Tunao watanzania wenye uwezo mkubwa wa kufanya Transformation na kukuza uchumi Kwa faida ya leo na kesho kutwa.
 
Crdb na NMB haziwezi competition ishu Sio management nzuri hizi zinabebwa na Serikali kupitia malipo ya mishahara,makusanyo yote ya Serikali upitia bank hizi.
Zisipobebwq na Serikali lazima zifilisike
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya NMB kukabidhi Gawio kwa Serikali na kusherekea Miaka 25 ya Safari ya Mafanikio ya Benki ya NMB katika Ukumbi wa Mlimani City leo 17 Juni, 2023.

​

Akizungumza kwenye halfa hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna amemshukuru Rais kwa kuhuduria na kupokea gawio kwa Serikali kutoka Benki hiyo.

Katika kipindi cha miaka 25 ya Benki hii, ilianza kama Benki ndogo ikiwa na mtandao wa matawi 97 nchini bila kuwa na ATM wala mawakala.

View attachment 2660342
Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB​
Mwaka 2005, Serikali ya Tanzania ilibinafsisha kwa kuuza hisa ya 49% na mwaka 2008 ilipunguza kisa zake zingine na kufanya iorodheshe kwenye soko la hisa la Dae es Salaam ikiwa na hisa 31.8%

Sasa ina matawi 227 Nchini, ATM 781, Mawakala 23679 na Akaunti Milioni 6.3 Nchi nzima. Hii inafanya kuwa benki yenye akaunti nyingi zaidi kuliko benki zingine Tanzania na Mwaka 2022 pekee, benki hii ilisajili akaunti mpya milioni 1.2.

Benki hii itatoa gawio la Bilioni 45.5 kwa Serikali na tayari imeshawekwa kwenye Akaunti ya hazina na kwa ujumla, bilioni 143.1 zimetolewa kwa wanahisa wote mwaka huu.

Aidha, kwa mwaka 2022, NMB imelipa kodi ya tsh bilioni 453 Serikali.

Katika kusherekea miaka 25 ya Benki hii, Zaipuna amesema tayari Bilioni 2.5 kujenga shule ya mfano kwenye mkoa na eneo atakalopendekeza Rais Samia.

Rais Samia ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa NMB kwa kazi kubwa waliyofanya kwa kuwa Benki kiongozi nchini kwa kuzalisha faida, na akiwa ya 3 Kwenye Ukanda wa Afrika Mashafiki kwa Kutengeneza faida kubwa.

Aidha, Serikali imeanza kufanya tathimini ya Mashirika yote ya Umma na yale ambayo Serikali ina hisa kubwa ili kubaini mashirika yasiyo na faida na yaliyoshindwa kujiendesha yakiitia hasara Serikali yafutwe, yapewe miongozo jinsi ya kujiendesha au yasaidiwe ili kwa pamoja wote wazalishe faida.

Amesema lengo la Serikali kuanzisha mashirika hayo ni kuisaidia kuzalisha fedha na si mashirika kula serikalini bila kurejesha faida na mengi yakiwa ya aina hii.

Rais Samia amewataka wananchi wanaopatiwa mikopo na benki hiyo bila dhamana warudishe imani hiyo ili kutoiua au kuiangusha.

Huyu afisa Mtendaji wa NMB anafaa sana kuwa Gavana wa BOT

Ana mikakati inayotekelezeka na anasimamia utekelezaji.

BOT wwmekuwa hawana tija kubwa zaidi ya kutoa taarifa tu. Hata mzunguko wa fedha wamekuwa kama hawana dhamana nao
 
Mafanikio ya NMB na CRDB yanaweza kutokea kwa mashirika mengine ya umma, kama vile TPA, ATCL TRL TP&TC TANESCO...nk. Msajiri wa hazina badala ya kukaa na kusubiri magawio kwenye mashirika haya machache, aanzishe mchakato wa kuthaminisha mashirika yote ya umma, yathaminishwe, yatafutiwe mwekezaji wa kimkakati kisha yaorodheshwe kwenye soko la hisa.
Hayahitaji uwekezaji mpya, yaorodheshwe tu
 
Crdb na NMB haziwezi competition ishu Sio management nzuri hizi zinabebwa na Serikali kupitia malipo ya mishahara,makusanyo yote ya Serikali upitia bank hizi.
Zisipobebwq na Serikali lazima zifilisike
Zilipofikia haziwezi
 
Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa NMB wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Mafanikio ya Benki hiyo Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2023.View attachment 2660709
20230617_205400.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya NMB kukabidhi Gawio kwa Serikali na kusherekea Miaka 25 ya Safari ya Mafanikio ya Benki ya NMB katika Ukumbi wa Mlimani City leo 17 Juni, 2023.

​

Akizungumza kwenye halfa hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna amemshukuru Rais kwa kuhuduria na kupokea gawio kwa Serikali kutoka Benki hiyo.

Katika kipindi cha miaka 25 ya Benki hii, ilianza kama Benki ndogo ikiwa na mtandao wa matawi 97 nchini bila kuwa na ATM wala mawakala.

View attachment 2660342
Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB​
Mwaka 2005, Serikali ya Tanzania ilibinafsisha kwa kuuza hisa ya 49% na mwaka 2008 ilipunguza kisa zake zingine na kufanya iorodheshe kwenye soko la hisa la Dae es Salaam ikiwa na hisa 31.8%

Sasa ina matawi 227 Nchini, ATM 781, Mawakala 23679 na Akaunti Milioni 6.3 Nchi nzima. Hii inafanya kuwa benki yenye akaunti nyingi zaidi kuliko benki zingine Tanzania na Mwaka 2022 pekee, benki hii ilisajili akaunti mpya milioni 1.2.

Benki hii itatoa gawio la Bilioni 45.5 kwa Serikali na tayari imeshawekwa kwenye Akaunti ya hazina na kwa ujumla, bilioni 143.1 zimetolewa kwa wanahisa wote mwaka huu.

Aidha, kwa mwaka 2022, NMB imelipa kodi ya tsh bilioni 453 Serikali.

Katika kusherekea miaka 25 ya Benki hii, Zaipuna amesema tayari Bilioni 2.5 kujenga shule ya mfano kwenye mkoa na eneo atakalopendekeza Rais Samia.

Rais Samia ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa NMB kwa kazi kubwa waliyofanya kwa kuwa Benki kiongozi nchini kwa kuzalisha faida, na akiwa ya 3 Kwenye Ukanda wa Afrika Mashafiki kwa Kutengeneza faida kubwa.

Aidha, Serikali imeanza kufanya tathimini ya Mashirika yote ya Umma na yale ambayo Serikali ina hisa kubwa ili kubaini mashirika yasiyo na faida na yaliyoshindwa kujiendesha yakiitia hasara Serikali yafutwe, yapewe miongozo jinsi ya kujiendesha au yasaidiwe ili kwa pamoja wote wazalishe faida.

Amesema lengo la Serikali kuanzisha mashirika hayo ni kuisaidia kuzalisha fedha na si mashirika kula serikalini bila kurejesha faida na mengi yakiwa ya aina hii.

Rais Samia amewataka wananchi wanaopatiwa mikopo na benki hiyo bila dhamana warudishe imani hiyo ili kutoiua au kuiangusha.

Hongera Sana kwa Uongozi na Mgt nzima ya NMB Bank Plc. Good Job. Muwe mfano na mashirika mengine yafuate mazuri toka kwenu kama chachu ya kuendesha biashara hapa nchini Tanzania.
 
Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa NMB wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Mafanikio ya Benki hiyo Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2023.View attachment 2660709View attachment 2660710
Wamependeza sana ila hawana adabu kwa Mkuu (no. 1) Hii ni dharau katika jambo kubwa kama hili angalia karibu wafanyakazi na hao wageni wanachati na simu zao ! Shame upon them
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya NMB kukabidhi Gawio kwa Serikali na kusherekea Miaka 25 ya Safari ya Mafanikio ya Benki ya NMB katika Ukumbi wa Mlimani City leo 17 Juni, 2023.

​

Akizungumza kwenye halfa hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna amemshukuru Rais kwa kuhuduria na kupokea gawio kwa Serikali kutoka Benki hiyo.

Katika kipindi cha miaka 25 ya Benki hii, ilianza kama Benki ndogo ikiwa na mtandao wa matawi 97 nchini bila kuwa na ATM wala mawakala.

View attachment 2660342
Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB​
Mwaka 2005, Serikali ya Tanzania ilibinafsisha kwa kuuza hisa ya 49% na mwaka 2008 ilipunguza kisa zake zingine na kufanya iorodheshe kwenye soko la hisa la Dae es Salaam ikiwa na hisa 31.8%

Sasa ina matawi 227 Nchini, ATM 781, Mawakala 23679 na Akaunti Milioni 6.3 Nchi nzima. Hii inafanya kuwa benki yenye akaunti nyingi zaidi kuliko benki zingine Tanzania na Mwaka 2022 pekee, benki hii ilisajili akaunti mpya milioni 1.2.

Benki hii itatoa gawio la Bilioni 45.5 kwa Serikali na tayari imeshawekwa kwenye Akaunti ya hazina na kwa ujumla, bilioni 143.1 zimetolewa kwa wanahisa wote mwaka huu.

Aidha, kwa mwaka 2022, NMB imelipa kodi ya tsh bilioni 453 Serikali.

Katika kusherekea miaka 25 ya Benki hii, Zaipuna amesema tayari Bilioni 2.5 kujenga shule ya mfano kwenye mkoa na eneo atakalopendekeza Rais Samia.

Rais Samia ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa NMB kwa kazi kubwa waliyofanya kwa kuwa Benki kiongozi nchini kwa kuzalisha faida, na akiwa ya 3 Kwenye Ukanda wa Afrika Mashafiki kwa Kutengeneza faida kubwa.

Aidha, Serikali imeanza kufanya tathimini ya Mashirika yote ya Umma na yale ambayo Serikali ina hisa kubwa ili kubaini mashirika yasiyo na faida na yaliyoshindwa kujiendesha yakiitia hasara Serikali yafutwe, yapewe miongozo jinsi ya kujiendesha au yasaidiwe ili kwa pamoja wote wazalishe faida.

Amesema lengo la Serikali kuanzisha mashirika hayo ni kuisaidia kuzalisha fedha na si mashirika kula serikalini bila kurejesha faida na mengi yakiwa ya aina hii.

Rais Samia amewataka wananchi wanaopatiwa mikopo na benki hiyo bila dhamana warudishe imani hiyo ili kutoiua au kuiangusha.

Hivi huyu CEO ni mtanzania! Au Southern Sudanese ????
 
Back
Top Bottom