mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,464
Kwani Atm hawacharge ukidraw?Equity Bank ni kama umeweka hela mfukoni mwako, tatizo matawi yao machache!
Wakenya wanaupiga mwingi hadi kwenye nchi yetu!
Huyu jamaa akijaribu CRDB atakuja kufuta uzi hapa.unawajua crdb wewe, wanakutoa chozi wale jamaa😀
Hahahahahaaaa,ila NMB siwaelewi hata Mimi makato Yao,huko kwingine sijajaribuHuyu jamaa akijaribu CRDB atakuja kufuta uzi hapa.
Hakuna bank ambayo iko vijijini kwa sababu za usalama ila kuna mawakala binafsi vijijini.Bora NMB kuliko CRDB,wajuvi wa mambo mtusaidie n bank ipi walau wana makato madogo na iko accessible vjjn na mijini?
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Nadhani NMB wana afadhali,CRDB ndo wana makato balaa hata sina hamu naoyaani nimejiunga na benki yao ila kuna vitu nimekuja kugundua kuwa hawa wana makato makali kuliko benki nyingine, kutoa pesa atm wana makato makubwa kuliko wengine, na nimekatwa 1500 wanasema hela ya saving yaani kumbe pesa zangu kuweka tu kuna pesa ya kuwalipa kunihifadhia
Bank kama DTB kwa kweli naona makato ya ajabu ajabu hamna , DTB niliwahi acha pesa mwaka 1 bila kutoa wakanipa na zawadi kama ya sh 34,000 kama faida ila hawa NMB Ukiweka hela ndio kwanza wanaitafuna
Equity wameshaanza kucharge mkuu ukitoa ATM unakatwa sh1200Equity Bank ni kama umeweka hela mfukoni mwako, tatizo matawi yao machache!
Wakenya wanaupiga mwingi hadi kwenye nchi yetu!
Ni Bank Pekee ambayo ukituma pesa kwa PayPal kisha ikirudishwa inaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako (hapa nawapongeza sana)Equity Bank ni kama umeweka hela mfukoni mwako, tatizo matawi yao machache!
Wakenya wanaupiga mwingi hadi kwenye nchi yetu!
Tuulize tuulize tukutajie bank zenye makato ya ajabu....yaani nimejiunga na benki yao ila kuna vitu nimekuja kugundua kuwa hawa wana makato makali kuliko benki nyingine, kutoa pesa atm wana makato makubwa kuliko wengine, na nimekatwa 1500 wanasema hela ya saving yaani kumbe pesa zangu kuweka tu kuna pesa ya kuwalipa kunihifadhia
Bank kama DTB kwa kweli naona makato ya ajabu ajabu hamna , DTB niliwahi acha pesa mwaka 1 bila kutoa wakanipa na zawadi kama ya sh 34,000 kama faida ila hawa NMB Ukiweka hela ndio kwanza wanaitafuna
They are good ila back then niliachana nao maana niliona POS wanakata pakubwa...Equity Bank ni kama umeweka hela mfukoni mwako, tatizo matawi yao machache!
Wakenya wanaupiga mwingi hadi kwenye nchi yetu!
Akijaribu atakuja awasifie NMB na awaone kama walikuwa malaika.Huyu jamaa akijaribu CRDB atakuja kufuta uzi hapa.