Ingekua busala zaid km ofisa bank angetumia sim kumpigia mteja husika kutokana na kuibuka mtu kati kuhusu Account yake.Kama wangekubali kufanya uliyotaka kufanya binafsi ningewashangaa sana na kuona hawana weledi wa kazi.
Wao walikuwa na hakika gani kama wewe au huyo ndugu yako kaibiwa??
Bank ni miongoni mwa sekta ambazo ziko very limited kwenye kutumia ubunifu au akili ya kuzaliwa kwenye kutekeleza majukumu yake. Mfano leo hii wewe unaweza enda bank, ndani kuchukua pesa, Jamaa anatakiwa a verify sura yako na signature, sura inakuwa yako kabisa, ila ukiyumbisha signature kidogo tuu... hakuna namna utapata pesa zako...Ukiwa siku umelazwa ndiyo utajua kwanini huwezi kiuondoka kwenye drip uende bank badala yake utatuma mtu wa karibu
Kuna sheria na taratibu kila mahali. Lakini kuna akili ya kazi (kujiongeza).
Asante kwa kushiriki!! Hata hilo nalo limekuongezea idadi ya threads ulizochangia!!Kuhararisha!!!!
Wapeleke mahakamani watakulipa tu,toka lini kufungia miamala kukaleta athari kwa benki na mtejaNashauri uongozi wa NMB waangalie baadhi ya taratibu ambazo hazina msingi katika usalama wa hela za wateja. Hakukuwa na sababu yeyote ya kupuuza taarifa za awali ilitakiwa kukubali taarifa na kuzifanyia kazi. Hili jambo kwa kweli limenisikitisha sana maana endapo mwenye akauti yupo hospitali au amekufa n.k itakuwaje? hizi ni kanuni mbovu kwenye usalama wa fedha za watu, sasa mmekataa na pesa zimeibwa kipi bora?
Kama ni taratibu ni za kijinga sana nimekata tamaa ya kuwa nao NMB hivi ukizua hela isitoke hata angekuwa mwizi mwenyewe ameenda kuripoti ingeleta madhara gani?Nakuambia hivi kwa taratibu za benki hilo haliwezekani, huyo kwa kwanza alifanya mistake tu kukubali
Mpaka wanapora walikuwa wamemstudy na kuijua. Au ilikuwa hackedyaani hao wezi wamebuni password yake kwa muda mfupi hivyo? au ndio aliiandika kwenye diary yake! Poleni, ni sahihi mwenye kadi yake ndie atoe taarifa
Hao wezi waliijuaje password ya simu?Nywila ilikuwa kwenye simu.
Maadhali palishakuwa na shaka ingekuwa vyema NMB kuizuia kwanza kisha kuwasiliana na mhusika.Kama wangekubali kufanya uliyotaka kufanya binafsi ningewashangaa sana na kuona hawana weledi wa kazi.
Wao walikuwa na hakika gani kama wewe au huyo ndugu yako kaibiwa??
Benki zote utaratibu ndo huoKama ni taratibu ni za kijinga sana nimekata tamaa ya kuwa nao NMB hivi ukizua hela isitoke hata angekuwa mwizi mwenyewe ameenda kuripoti ingeleta madhara gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri mzee nd'o alikuwa anamjengea msingi wa kujitegemea kijana wake kwa kumtrust aende benki . Kwa upande mwigine benki walikuwa sahihi , maana wakiruhus mtu mwingine atoe taarifa itakuwa hatari maana tukitofautiana na mwenzangu wa ndoa au watoto wakorofi wanaweza kutumia huo mwanyaHuyo dogo hajajengewa msingi wa kujitegemea na ukute kutokana na hilo ndio maana hata kaporwa maana kama kwenda bank tu mpaka asaidiwe sishangai hata kuporwa hilo begi.
Mbona bank wapo faster hata ukipiga simu mwenyewe tu wanaifunga kikubwa wanakuuliza maswali ikiwa pamoja na nambari yako ya simu na akaunti na kama umepiga kwa namba husika faster.
Lilikuwa linawezekana na kwa urahisi Zaidi kama angekwenda muhusika mwenyewe lakini si kwa 3rd person. Who knows, labda aliyeleta taarifa anataka kufanya yake kwenye akaunti lengwa lakini ili afanye hayo yake inabidi akaunti iwe kama haisomi.Maadhali palishakuwa na shaka ingekuwa vyema NMB kuizuia kwanza kisha kuwasiliana na mhusika.
I
Ingekua busala zaid km ofisa bank angetumia sim kumpigia mteja husika kutokana na kuibuka mtu kati kuhusu Account yake.
Km cm ni miongoni mwa vilopotea bas wangemshar kuenda tawi lililo kalbu naye kwa mlolongo uleule (Impitie)