NMB Temeke yavamiwa kwa mabomu; mmoja auawa; msako mkali!

Kwenye matukio yanayohusisha silaha, polisi kwa makusudi husubiri wezi watokomee kwanza ili kukwepa confrontations, hasa nyakati za usiku.

Nasikia NMB headquarters hakuna camera hata moja (Nje na ndani). Temeke je?
 
kova amezungukwa na makamanda wezi wanashirikiana na majambazi. Halafu nashangaa Mahita hawamhoji, huyu jamaa alikuwa na ushirika na majambazi wakati akiwa IGP
 
kazi ya simu za mkononi ni nini? nyingi zina kamera hamna watu wanaoweza kuchukua picha au video ya tukio??? tatizo wabongo simu ni sms,kubeep na zaidi ya mawasiliano......
heko kwa vijana kujiajiri
 
Sasa kwa nini wasiwakamate kama wamewaona wameingia nchini na wanawajua!? Au wanasubiri wafanye matukio ndio wawakamate!?

Kama kawaida walikuwa wanatoa taarifa kwa wananchi, ili mkiibiwa wapate pa kujishika.

Ingekuwa maandamano ya kisiasa au uchaguzi mdogo au uchaguzi wa zanzibar wangeimarisha ulinzi.
 
Ni kweli wizi umetokea, inasemekana ni vijana wadogo tu walikuwa na bunduki pamoja na vitu vinavyodhaniwa ni mabomu ambapo mashuhuda wanasema vilikuwa mithili ya simu za mkononi ambavyo walikuwa wakirusha wakati wanaondoka.

Jamaa hao walikuwa na Toyota Land Cruiser ya Kijani na walitoroka kuelekea njia ya Tandika. Kweli wamechota mihela maana inasemekana walikuwa na begi
"Rack Sack" kubwa tu lililokuwa limejaa mihela. Mhanga mmoja alisalimisha fedha zake TZS 2,000,000 alizokuwa akimtumia Baba Yake.

Majeruhi ni wengi, na inasemekana Askari Polisi wawili walipigwa risasi kabla jamaa hawajaingia ndani.

Polisi walifika eneo la tukio kama baada ya dakika kumi na tano.

Kweli ilikuwa kama action movie.

Mkuu hiyo picha ya Twin towers inanikumbusha ankle kweka alipokuwa meneja mradi duu kama vile hapa melborine nimemwuliza mtasha hapa kasema lina thamani zaidi ya dola bilioni moja. samahani nimechomekea.
 
kazi ya simu za mkononi ni nini? nyingi zina kamera hamna watu wanaoweza kuchukua picha au video ya tukio??? tatizo wabongo simu ni sms,kubeep na zaidi ya mawasiliano......
heko kwa vijana kujiajiri

Yoyo nadhani hauelewi ama haujui unachokiongea au you are out of your mind. Iweje risasi zinawaka wewe una unapiga video yako... Hiyo siyo kabumbu elewa ni risasi. Umeambiwa askari wenye silaha za moto wamelala chini ama wameuawa ama kujeruhiwa, iweje mtu ni kijicelular chacke?

Anyway unawapa hongera kwa kutenda maovu, inaelekea na wewe ni mwanachama
 
Kwenye matukio yanayohusisha silaha, polisi kwa makusudi husubiri wezi watokomee kwanza ili kukwepa confrontations, hasa nyakati za usiku.

Nasikia NMB headquarters hakuna camera hata moja (Nje na ndani). Temeke je?

Hiyo Dar inahitaji Three 'D' satellite camare system. Inawezekana kwani itaonyesha mpaka njia hata kama wanaenda Moro hata kama wameingia shimoni. Huna haja ya kufukuzana nao.

Cha kufanya ni kukimbilia camera room na kuanza kutress ndiyo system inayo maliza uhalifu huku majuu.
 
jamani hakuna mwenye taarifa kamili ya nini kimetokea na mauaji au watu gani wamejeruhiwa, ni wateja au wafanya kazi?
 
Hizi benki kusogezwa karibu na wananchi inatakiwa na ulinzi pia kuongezwa. Ni risk kuweka benki Mbagala au Temeke


Mwanangu Mwembeyanga navyokujua ni so ghetto, even Dickensian ghetto -used to have a lovely gf right off the bus stop - (but more than half of Dar is, really) and all I can say is, if the government (the government is supposed to be the people, by the way) is not going to raise the standard of living and provide the right environment for unemployment to decrease, this typpa shit is gonna be a constant anecdote of the zeitgeist, just footnoting these tragic hard times.The bank robbers need a stimulus package and incentive to assimilate into mainstream society and the bad kids in mainsteream society need the same to stay in mainstream society (this could easily be an otherwise unimpressive fallible plot by some kids with guns)

All that said, we do (or at least are supposed to if you dispute that we do, as I sometimes do) have a police force.I want people to take personal responsibility and call the Regional Commander and ask him what is known so far about this incident, what was done before the incident securitywise, what is being done to prevent similar incidents and a trend, and the finer details of this incident that may likely lead to further questions.

With the benefit of how others were able to curb the wild west and the Dillingers and Jesse Jameses of this world, we need not be in the same situation.

I hope the injured will have a speedy recovery and this will not develop into a galloing trend.

Bottom line is, the petit Bourgeisie need to act before there is some kind of "people's revoluion" heading for Ikulu, real talk.
 
Last edited:
jamani hakuna mwenye taarifa kamili ya nini kimetokea na mauaji au watu gani wamejeruhiwa, ni wateja au wafanya kazi?

Taarifa kamili utaipata kwenye magazeti, ila kama wewe sio mvivu mambo yote yametundikwa humu ndani.
 
Cha kushangaza kituo cha polisi Chang'ombe kipo jirani tu hili lazima dili nene.
 
Mungu aepushe vifo,Polisi fanyeni kazi yenu,wananchi toeni taarifa. In short kila mtu atimize wajibu wake.
 
Hizi benki kusogezwa karibu na wananchi inatakiwa na ulinzi pia kuongezwa. Ni risk kuweka benki Mbagala au Temeke

Mkuu mbona bado una mawazo yaleyale ya kutenga watu kutokana na makazi??? walipora ubongo,city centre, kariakooo na kwingineneko na huko nako utasemaje?? hapa swala sio sehemu swala ni ulizi tuuu...
 
Mambo haya yataendelea sana kutokea kadri hali ya uchumi inavyozidi kuzama.Ajira hakuna ,Walinzi yaani polisi wamekata tamaa,wananchi wana hasira na serikali yao,Kwani haijakidhi matarajio yao.Maisha bora kwa kila Mtanzania.Sasa majambazi wameamua kujitwalia maisha bora mkononi.Nani alaumiwe????
dah! haya bana uhuru wa maoni unatumika ipasavyo
 
Hiyo Dar inahitaji Three 'D' satellite camare system. Inawezekana kwani itaonyesha mpaka njia hata kama wanaenda Moro hata kama wameingia shimoni. Huna haja ya kufukuzana nao.

Cha kufanya ni kukimbilia camera room na kuanza kutress ndiyo system inayo maliza uhalifu huku majuu.
Are you trying to stress the point kwamba huku majuu,majambazi never make a clean gateaway-you need to do your homework again
 
hatariiii jamaa baada ya kushindwa peaceful way through atm wameamua kuja live1 Mhe Kova upo?
 
Kuna yeyote ambaye keshapata confirmed statement as to how many got injured, how many died and how much stollen?

Tuhabarishane..
 
Kama ni kweli Viongozi wa Polisi wajiuzulu kwani sasa ni too much,wizi kila kona ya Nchi wanafanya kazi gani na vitendea kazi wanavyo.
 
NMB wabahili sana ukiwaambie waweke cctv wanakataa ooh eti ghrama, sio wao tu hata bank kadhaa, wanagoma kabisa!!
 
Back
Top Bottom