Kiukweli nimechoshwa na jinsi huduma kwa wateja isivyoridhisha katika hii benki wanayoita ya makabwela. Ukiwa na shida ili upate huduma stahiki mpaka uwe unafahamiana nao au uonekane kama mwenye pesa saana. Hawajui kutunza muda ,,,,, in general pooooor service......