Jambo la muhim kujua ni kuwa benki zote zenye huduma ya mobile service zinategemea sana uimara wa makampuni ya simu, hivo tusilaumu sana NMB bila kujua chanzo cha kukwama huduma ya NMB mobile ni nini?
You are wrong Ngosha, unapofanya huduma ya simu kwa kupitia simu ya mkononi kuna vitu vitatu.
1. Bank
2. Network operator (mitandao ya simu)
3. Payment partner (eg. Selcom wireless etc.)
Hivi ulishawahi kuhamisha pesa kutoka bank a/c kuja kwenye account yako ya m-pesa/tigo pesa/airtel money halafu ikawa kwenye bank imehama ila kwenye account yako ya mpesa/tigo pesa/airtel money haionekani?
The fact;
Unapofanya muamala toka kampuni moja (eg. Bank) kwenda nyingine (eg. M-pesa) pesa zinahama toka akaunt A zinakuwa held kwenye akaunt B ya payment business partner (eg. Selcom wireless) na hapo unapata sms kuwa muamala wako utakamilishwa ndani ya dakika 30 maana yake the funds are held on middle akaunt (eg. Selcom wireless) so kwenye destination akaunti C (eg. m-pesa) inakuwa haijafika. Sasa tatizo linakuja pesa zimehama bank na huyu selcom ana tatizo kwenye akaunti yake so pesa zinakuwa pending muda mrefu (mostly occurs at the end of each month). Ukipiga simu bank wanakuambia imehama, ukipiga simu mfano voda wanakuambia hakuna muamala wa bank uliokuja huku, na bahati mbaya mteja hutakiwi kuambiwa taarifa za ndani kama hzi so wewe unaambiwa suala lako litafanyiwa kazi, na hapa kampuni ya simu ya mtandao uliotumia ndo wanacommunicate na hawa Selcom kuharakisha update ya miamala ya wateja iliyokuwa held kwenye akaunti yao.
Hii iko hivo hivo hata unapolipia LUKU, Ving'amuzi, Banks n.k So msiwatukane customer care mkadhani kuna uzembe, kuna huyu invisible partner (selcom) ndo tatizo (sio invisible Mod wa humu JF ha ha haaa)
Unapofanya muamala unapata ujumbe "Powered by Selcom mobile" eheeee...ndo hivo sasa.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums