financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,194
- 43,576
nadhani usipotumiwa Email ya kukatwa ndyo una nafasi nzuri huenda ukapata, so kwa sasa nadhani wanatuma emails kwa ambao hawajafanikiwa ,sijajua ni vigezo gani wanatumia lkn nadhani kuna vitu wanaangalia mpk kumkata mtu. Ukikatwa move on hustles ziendeleeMbona waliopata nao wajitokeze basi.. maana kila kakosa.. yaan mtu kapiga BAF, BCOM lkn anakosa ss hapo vigezo ni nn wakati walihitaji hata wasiowazoefu...??
Very good spirit!hadi tupate email ndio tutajua...
nasikia kama hauku sign cv ni kigezo mojawapo cha kufyekelewa mbali😔😔😔🏃🏃nadhani usipotumiwa Email ya kukatwa ndyo una nafasi nzuri huenda ukapata, so kwa sasa nadhani wanatuma emails kwa ambao hawajafanikiwa ,sijajua ni vigezo gani wanatumia lkn nadhani kuna vitu wanaangalia mpk kumkata mtu. Ukikatwa move on hustles ziendelee
Kusign kvp mkuu? Hebu nieleweshe maaana mimi nishazoea kusign barua tu kazi pale chini sasa CV huwa wana sign kwa wapi? Tujifunze mapema kusudi siku ingine tuwe makini na hilo.nasikia kama hauku sign cv ni kigezo mojawapo cha kufyekelewa mbali[emoji17][emoji17][emoji17][emoji125][emoji125]
page ya mwisho baada ya kumaliza kuandika cv yako kwa chini unasign na kuandika tarehe..Kusign kvp mkuu? Hebu nieleweshe maaana mimi nishazoea kusign barua tu kazi pale chini sasa CV huwa wana sign kwa wapi? Tujifunze mapema kusudi siku ingine tuwe makini na hilo.
Shukran kwa kunifahamisha ila jamaa wangetoa maelezo na katika maelezo yao sikumbuki kama kuna hilo la kusign walisema... acha tuendele kusubiri nini kitajiripage ya mwisho baada ya kumaliza kuandika cv yako kwa chini unasign na kuandika tarehe..
hiyo kusign hata shule wanafundisha mkuu hili kuthibitisha kama maelezo uliyoyaweka kwenye cv ni ya kweli na niyakwako, then tarehe inawafanya wao wajue kama cv yako umei update na sio ya zamani... lakini ngoja tuendelee kusubiri.Shukran kwa kunifahamisha ila jamaa wangetoa maelezo na katika maelezo yao sikumbuki kama kuna hilo la kusign walisema... acha tuendele kusubiri nini kitajiri
Hizi kazi za siku hizi nashauri ukiapply anza kutafuta na connection kwa nguvu sehem ulipoapply.; nina story ya mshkaj wangu alisoma BA cultural anthropology and tourism mwaka jana aliappy bank officer ila baada ya kuapply tu highland zone akatimba mby kwenye ofisi kuu za kanda na kuanza kumsaka mhusika wa ngazi za juu kwa udi na uvumba na siku alipompata nadhan ni manager baada ya kulia shida zake aliitwa kwenye interview na akapata kaz kwa maelekezo ya boss na sasa ni bank officer somewhere LUDEWA . ushauri wangu kwa zama hizi za ushindani ni sio vema kuapply tu na kusubiri miujiza ni vema kwenda extra miles waswahili wanasema KUJIONGEZA
Hakika binadam tushazoea kila jambo mpaka tuambiwe tuwe na subrahiyo kusign hata shule wanafundisha mkuu hili kuthibitisha kama maelezo uliyotoa ni ya kweli na niyakeako, then tarehe inawafanya wao wajue kama cv yako umei update sio ya zamani... lakini tuendelee kusubiri labda.
oooh inawezekana ,duuh basi tenaaa, fyekeo lishatupitia hivoonasikia kama hauku sign cv ni kigezo mojawapo cha kufyekelewa mbali😔😔😔🏃🏃
leo wametumiwa email walio apply tarehe 31 july na tarehe 1 august.... wale walio aply kuanzia tareh 2augst hadi tar 11 augst tuendelee kusubir email zipo njiani.😁Mbona mi sipati tuuuu...
Mkuu shule gani walifundisha kusign CV tambaza au?? CV unasign vipi..?? Cover letter sawa ila kwa CV kutosign sio kigezo kabisa cha mtu kumkata.. Huo ni uonevu.. hata hivyo vigezo sio Kusign CV na hiyo CV mtu kamaliza chuo mwaka huu unataka aoneshe kuupdate kupi wakati ushaona kamaliza mwaka huu au mwaka jana na hana kazi?? Tuwe fair katika maamuzi yetu..hiyo kusign hata shule wanafundisha mkuu hili kuthibitisha kama maelezo uliyoyaweka kwenye cv ni ya kweli na niyakwako, then tarehe inawafanya wao wajue kama cv yako umei update na sio ya zamani... lakini ngoja tuendelee kusubiri.
cv lazima isainiwe mkuu page ya mwisho baada ya declaration statement, ebu angalia mfano huo hapo zamani nmb walivyokua wanataka cv iwesigned.... hiyo nimekuchukulia ya zamani hili uelewa, lakini siku hizi hawafafanui wanajua kila mtu anaelewa kama anatakiwa kusign cv baada ya declaration statement. we jiulize mtu ana upper second tena ya BAF lakini hawajamchukua.. wanaangalia vigezo hivyo vidogovidogo... tena sio nmb tu unavyoapply kazi sehemu yoyote kumbuka kusign cv.Mkuu shule gani walifundisha kusign CV tambaza au?? CV unasign vipi..?? Cover letter sawa ila kwa CV kutosign sio kigezo kabisa cha mtu kumkata.. Huo ni uonevu.. hata hivyo vigezo sio Kusign CV na hiyo CV mtu kamaliza chuo mwaka huu unataka aoneshe kuupdate kupi wakati ushaona kamaliza mwaka huu au mwaka jana na hana kazi?? Tuwe fair katika maamuzi yetu..
Cna hakika lakini mm cv yangu nilisign kabisa na barua ila nmepata email ya kutokuhitajika ifikie mahala tujue moja kwamba wao wana watu wanajitolea huko ila wanatangaza geresha tuuMkuu shule gani walifundisha kusign CV tambaza au?? CV unasign vipi..?? Cover letter sawa ila kwa CV kutosign sio kigezo kabisa cha mtu kumkata.. Huo ni uonevu.. hata hivyo vigezo sio Kusign CV na hiyo CV mtu kamaliza chuo mwaka huu unataka aoneshe kuupdate kupi wakati ushaona kamaliza mwaka huu au mwaka jana na hana kazi?? Tuwe fair katika maamuzi yetu..
duh.... may be wanavigezo vingi wanavyo viangalia.Cna hakika lakini mm cv yangu nilisign kabisa na barua ila nmepata email ya kutokuhitajika ifikie mahala tujue moja kwamba wao wana watu wanajitolea huko ila wanatangaza geresha tuu
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Ok thanks sikuwahi kuwaza hizi mambo.. ahsante tena sana..cv lazima isainiwe mkuu page ya mwisho baada ya declaration statement, ebu angalia mfano huo hapo zamani nmb walivyokua wanataka cv iwesigned.... hiyo nimekuchukulia ya zamani hili uelewa, lakini siku hizi hawafafanui wanajua kila mtu anaelewa kama anatakiwa kusign cv baada ya declaration statement. we jiulize mtu ana upper second tena ya BAF lakini hawajamchukua.. wanaangalia vigezo hivyo vidogovidogo... tena sio nmb tu unavyoapply kazi sehemu yoyote kumbuka kusign cv.