NMB job several position wameanza kutuma email

cv lazima isainiwe mkuu page ya mwisho baada ya declaration statement, ebu angalia mfano huo hapo zamani nmb walivyokua wanataka cv iwesigned.... hiyo nimekuchukulia ya zamani hili uelewa, lakini siku hizi hawafafanui wanajua kila mtu anaelewa kama anatakiwa kusign cv baada ya declaration statement. we jiulize mtu ana upper second tena ya BAF lakini hawajamchukua.. wanaangalia vigezo hivyo vidogovidogo... tena sio nmb tu unavyoapply kazi sehemu yoyote kumbuka kusign cv.
Uongo huu watu tumesign CV lakini bado bila bila..dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi ni criteria gani zimetumika kukata watu bila hata test jamani
kwa zile kazi jinsi zilivo nyingi hazikuhitaji kusumbuana mpaka written, vigezo vinavotumika kupunguza watu kwenye nafasi kama hizo na wingi wa waombaji, huangalia CV, Na maelekezo kama ulifata sahihi wakati wa kuomba,.. wengi huchemka kwenye sehemu ya "Why do you think you fit for this position..? hapa wengi huzingua na wao hutumia kama kigezo, waombaji ni wengi, Talent Acquisition team nayo iko makini,
Kila la heri, pia kwa waliotumiwa Email wasikate tamaa
 
Jamani kwani wameshajibu? Naona umeandika kana kwamba tayari, ila hii mada ni ya miaka ya nyuma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom