NMB job several position wameanza kutuma email

NMB job several position wameanza kutuma email

jana nilipokea email kutoka Nmb kwa zile kazi walizo tangaza kwa zones,vip kwa wengine maana naona mchujo wameufanya kama hujapita wanakutumia email kuwa asante kwa kusubiri ila hatuta endelea na wewe
Hongera mkuu - fanya kweli upate kazi
 
ok... unaweza kuipost tuione
IMG_20181116_182348_833.jpg
 
Namimi nimetumiwa email ya kukataliwa,nmeomba hiyo ya direct staff nasubir majibu
 
Back
Top Bottom