Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Hii inatokana na kwamba kuna watu wanakwazika na mambo ya riba kwani kwenye baadhi ya maandiko yanakataza ishu zinazohusiana na riba na ni dhambi kubwa.
Ili kuepukana na masononeko ya watu, NMB na CRDB kwakuwa nyie ndio benki pendwa hapa nchini, inawapasa mfungue dirisha maalumu kuepukana na hadhia hii.
Kampuni na taasisi nyingi zinalazimisha mtu kumuingizia mshahara wake kwenye benki zenu, so ili kutenda haki kwa wote, basi yapaswa kufungua dirisha lingine ambalo halina riba kwani riba ni bidaa.