Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Tigo pesa na mpesa ndio suluisho kwa sasa
Katika benki zinazoongoza kwa huduma mbovu kabisa hapa Nchini ni hii NMB(benki ya makabwera).Wanagharama za ajabu ajabu sana kuweka pesa kwenye akaunti ya mtu mwingine unalipa 1000,kuendesha akaunti kwa mwezi unalipia,kutoa hela kwenye atm unalipa.Cha ajabu pamoja na mteja kulipa gharama nyingi bado huduma ni duni tena mteja ni fara anapofika ktk benki hii.Mfano hapa KASULU tangu asbh saa tano mpaka wkt huu saa moja usk ATM MACHINE haitoi huduma yoyote watu wanataabika wakati wamekuja kuchukua pesa ambazo mtu ameweka.ubora wa huduma zenu ukowapi ndani ya benki dail mtandao unasumbua kuweka pesa mteja inamchukua masaa matano.hata makao makuu hamlijui hili wananchi wote tunajua fika hakuna huduma ya bure ktk benki lakini lzm mboreshe service nadhani hii benki ni kero nchi nzima,kama faida mnapa dail kwa gharama za wateja.wakuu mwenye kuwajua viongozi wa nmb makao makuu tafadhali awaambie!huu ni mwaka mpya watu wanamahitaji mengi ya pesa kwaajili ya kupeleka vijana shule n.k
dawa yao iko jikoni tunawasubiri equity bank wafungue bank zao tuwahame...!
tigo pesa na mpesa ndio suluisho kwa sasa
we vipi hayo mambo ya kizamani,unajivunia ujinga...tunaangalia good service and not otherwise!hata hizo unazojivunia mbona ziko chini ya makaburuni heri yako we mtu wa ajabu umeshindwa kujivunia chako, unaamua kujivunia kitu cha mwenzako (equity bank c ni kenyan bank), kumbuka pia kcb nao wameishia mikoa minne tu tanzania duh kweli miafrika ndo tulivyo