Nkubalien pliz!


sweetie huyu mimisa ni wa kike, naona anafit zaidi kategori ya Mwali.
 
Last edited by a moderator:
sweetie huyu mimisa ni wa kike, naona anafit zaidi kategori ya Mwali.

Ewaaaaaa! Maana nilikuwa nikijikaza tu hapa, ila hilo jibu ndilo haswa nilikuwa nikitaka! Lol

Baba watoto naomba basi ukampokee mie niandae chakula huju mdogo wangu gfsonwin akimuandalia pa kulala wenzie hawapo ambao wangeweza kumuandalia.
 
Last edited by a moderator:

Da AshaDii!
Huku ni Stress free.
Twamkaribisha kbs.

Afu Nakumiss muda wote,cjui kwa nini!
 
Last edited by a moderator:
Nitakuja Dada, ila naona kama umetoa mwaliko wa singo wakati mimi nimekuwa meredi kwa Preta, au kuna bifu na mai waifu? Ila sitegemei hilo, lakini ubongo unagoma kusadiki kuwa umemsahau wifi yako!!
 
Last edited by a moderator:
Matokeo ya pombe za mchana ndo kama hivi hivi.

 
Asije akaona yupo limited lolote analotaka atapa kabisa! Kuna watu wengi wa kum assist, naamini kuwa Madame B, Erickb52, Preta, EMT, Kongosho na wengine weeeengi wapo tayari kabisa kumpokea.
AshaDii huyu snowhite nina ishu nae.

Alinileti down Christmas na kunisababishia kutokuwa na white Christmas hivi hivi.

She completely refused to sue someone.

Kana kwamba haitoshi akanipromise makubwa valentine day, ghafla akasepa tena.

Sasa nimemtegeshea hapo White Valentine. Hakyanani atakoma!
 
Da AshaDii!
Huku ni Stress free.
Twamkaribisha kbs.

Afu Nakumiss muda wote,cjui kwa nini!

Kabisa... Mwonyeshe njia zooote! Lol.

Nimekumiss pia mdogo wangu... Nimekuoana uko busy na Dar Wing, hope mtafanikiwa bana. Mwabie na huyu Mimisa anakaribishwa.
 

In a way hii habari imenifurahisha saana! Yaani na ujanja wako wote ule umeishiwa technics? hahaha! Lemme watch this Lovely movie ambapo snowhite ndiye sterling...
 
Last edited by a moderator:
Kabisa... Mwonyeshe njia zooote! Lol.

Nimekumiss pia mdogo wangu... Nimekuoana uko busy na Dar Wing, hope mtafanikiwa bana. Mwabie na huyu Mimisa anakaribishwa.

Asante mpenzi....
Si unajua tena,Dar chama kubwa?
Lazima tufanye kweli.
Yap,nitamkaribisha Chamani.
 
Ooh yeah, na Judgement mkwe wangu, mtu muhimu sana, umesikia mimisa?

mimisa!
Umeskia maelezo hayo ?
Imezingatiwa itifaki kwa % za kushiba!
Sasa mdogomdogo tuanze kutafutana undani , wewe mimisa kati ya Arsenal na Man Yu wewe uko wapi? Na kt ya Yanga na Mnyama ww uko wapi ?
Hua wapenda slesi za blubendi au kavu?
 
Last edited by a moderator:
asante sana..nishakaribia
 
asernal?..mimi sitaki strec,so man U ndo kila kitu..na kwa apa Bongo mnyama ndo habar yangu(japo siku hizi anachechemea saaana)
mimisa!
Umeskia maelezo hayo ?
Imezingatiwa itifaki kwa % za kushiba!
Sasa mdogomdogo tuanze kutafutana undani , wewe mimisa kati ya Arsenal na Man Yu wewe uko wapi? Na kt ya Yanga na Mnyama ww uko wapi ?
Hua wapenda slesi za blubendi au kavu?
 
kiundugu zaidi..nimeshakaribia sn sn
 
Nitakuja Dada, ila naona kama umetoa mwaliko wa singo wakati mimi nimekuwa meredi kwa Preta, au kuna bifu na mai waifu? Ila sitegemei hilo, lakini ubongo unagoma kusadiki kuwa umemsahau wifi yako!!

nikosiwi kaka !ngati unisamehe bure tuuu!
wifi Preta nisamehe mwenzio nisamehe kamwali! mimisa enh nina wifi yangu mwingine anaitwa Preta ila sisi kule kwetu ku mpitimbi tunamwita pureta!ni mremboje saasa!lol!
 
Last edited by a moderator:
dah!..pole pole mwishoe nitakariri nan ni nani...Preta mimi mgeni wenu ooQUOTE=snowhite;5736360]nikosiwi kaka !ngati unisamehe bure tuuu!
wifi Preta nisamehe mwenzio nisamehe kamwali! mimisa enh nina wifi yangu mwingine anaitwa Preta ila sisi kule kwetu ku mpitimbi tunamwita pureta!ni mremboje saasa!lol![/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…