Nkubalien pliz!

ah babu bana!
usipovuta ugoro una shida kweli!
ah!
sasa hiyo si ni ile zamani mlikuwa mnasema sijui nyama ya hamu! au?

Kwani spelling zake ndivyo mnavyoziandika siku hizi??

nadhani huu mkorogano wa digitali na analogia unatupeleka pambaya sasa...

Babu DC!!
 
Kwani spelling zake ndivyo mnavyoziandika siku hizi??

nadhani huu mkorogano wa digitali na analogia unatupeleka pambaya sasa...

Babu DC!!
ahahahhahah babu unazeeka vibaya naona!ni cousin haya!
 
kazi ipo..ww ndo top uko..
 
kuna muda huwa nakuwa nagombewa kupewa offer za valentine mwaka huu waliokuwa ulingoni ni EMT na mr rocky ila huyu Mr Rocky alichemsha mpambano akampisha EMT amabye na yeye sijui aliishia wapi valentine ya mwaka huu!

Yaani wewe uliniacha kwenye mataa valentine. Ngoja tuu.
 

Kiongozi Kaizer una maana mie "mkweo mstaafu" huoni hujan'tendea haki! ?
Kwa kutoni'acknowledge ?
Au umesahau "ukwe" haukufi ?
Nimejiskia wivu kutoni'mention! Na usisahau mwanangu anakwita Babu!
 
Last edited by a moderator:
Ya nini kuanzisha familia...Njoo tuanzishe wenyewe.
Nakuhakikishia mwaka wa kwanza tuna mapacha watatu
 
nimeomba ridhaa kwa familia ya Dark City..kua mpwa ni jambo jema pia

au Kaizer unaonaje akiwa kitandamet wako!hii title haina mtu kabisa hii!au?
cc gfsonwin na AshaDii

kitanda met?..ooh nooo....natafta familia ya udugu umu sio kitanda mate..

AHAHHAHAHAHHAH !easy easy!
usiogope sana Kaizer hana matatizo na mtu!lol!

aku..nahtaji udugu kwanza..ayo mengne baadae..tena itakua kwa idhini ya familia na viongozi

Unajua mwalimu snowhite nakupendaga saaana kwa vile unajali mahitaji ya mwanafunzi wako, I mean u know what I want before I even ask for it....
mimisa, karibu sana kwenye familia yetu...kiundugu kwanza...nawaomba wake zangu AshaDii na gfsonwin mumpokee na kumpa maelekezo jamani...
 
Last edited by a moderator:


Mie sina shida kabisa... Naomba tu kujua ni wa kike ama wa kiume? Anapendelea nini? Anataka tumpokee kama mwanetu awe anacheza na Husninyo na Mwali ama anataka tumpokee kama mke mwenzetu ili tumkabidhi kwanza kwa shemeji Asprin amkague?

Asije akaona yupo limited lolote analotaka atapa kabisa! Kuna watu wengi wa kum assist, naamini kuwa Madame B, Erickb52, Preta, EMT, Kongosho na wengine weeeengi wapo tayari kabisa kumpokea.
mimisa Dearest... Karibu sana. Sema tu nini unataka... :A S shade:
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi Kaizer una maana mie "mkweo mstaafu" huoni hujan'tendea haki! ?
Kwa kutoni'acknowledge ?
Au umesahau "ukwe" haukufi ?
Nimejiskia wivu kutoni'mention! Na usisahau mwanangu anakwita Babu!

Ooh yeah, na Judgement mkwe wangu, mtu muhimu sana, umesikia mimisa?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…