Nkubalien pliz!

snowhite na kama hao ndo mathink tank wako
why not usichemke kwenye examinations?

 
Last edited by a moderator:
nashukuru sn..umekua wa kwanza kunikaribisha katika familia yako,na pia ulikua wa kwanza kunipa changamoto aka mixfire siku najitambulisha hapa..kidogo tu unikatishe tamaa yaan

Pole mimisa. KAribu tena. Mimi huwa nipo muwazi sana ndio maana but honest in my opinion. umeamua kujifitisha wapi? ungependa kuwa mpwa pia?
 
Last edited by a moderator:
Wee mie simtank la kijiji

Sifa zangu:
Nimesoma kuliko wafuatao kijijini kwangu, akchwali ndio wa kwanza kupanda ndege
Na nikirudi kule napokelewa zaidi ya Jerry Slaa, natandikiwa kanga napopita

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi
Mwalimu mkuu wa sekendare
Mganga wa kituo cha afya
VEO, WEO, SEO na balozi
Bwana Afya na Bwana Mifugo
Bibi Afya
Mwenyekiti wa Mtaa
Mchungaji na wa upande mwingine

Ujue mie ni SIMTANK na SInktank vile vile THinktank(Sinktank=Thinktank, ni vile tu wapare walishindwa kutamka SI)

snowhite na kama hao ndo mathink tank wako
why not usichemke kwenye examinations?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…