Nkubalien pliz!

mimisa

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
2,511
Reaction score
1,441
kwa muda ss nimekua humu nikiwa mimi tu,na familia yangu mwenyewe ambayo ni mimi mwenyew...nimechoka na hali hii..naomba familia iliyo tayar kuni adopt umu kama ndugu (japo ule wa kuunga kwa manati)..viongozi wa umu wanaweza nisaidia ktk kunipatia familia mojawapo...(Mapenzi yao na yatimizwe,he he)..tabia yangu ni njema,haina mawaa kabisa..:A S angel:
 

sawa... wewe ni SHE au HE?
Source watu8
 
Last edited by a moderator:
mimisa karibu kwenye familia yangu

Nina wake wawili AshaDii na mdogowe gfsonwin

Nina pia mpwa Mwali, japo siku za karibuni anataka kuleta mchumba ambaye hatujamfahamu vizuri....

Nina Hommie wangu Asprin, a.k.a. ODM, ndiye mkaguzi mkuu

Wengine marafiki lukuki hata siwezi kuwataja hapa wote ila kawaida wana MMU na wana chit chat wote tunachukuliana kama familia. karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sn..umekua wa kwanza kunikaribisha katika familia yako,na pia ulikua wa kwanza kunipa changamoto aka mixfire siku najitambulisha hapa..kidogo tu unikatishe tamaa yaan
 
karibu kwetu!
mimi nipo pacha na kulwa wangu ni SnowBall
nina mamduchu anaitwa cielo naye sijui kapotelea wapi yailahi aliyenione huyu mtoto popote alipo aniitie
nina dada mkubwa @fp
mdogo wangu Kipipi
kaka zangu moto2012 , peter e.mselewa, mzeeTupatupa
watani zangu watu8 na mkewe measkron, platozoom, KIKUNGU, Sikonge The Boss a.k.a kaka mkubwa,
nina wanafunzi wangu Kaizer, Asprin, SnowBall ndo monitor wao
nina shemeji yangu Nicas Mtei
wifi yangu sakapal Dark City ndo babu yetu cacico ni mke mwenza
@bolfo sijui ndio nani wangu ah ila mshkaji wangu kinoma. Mtambuzi kuna muda ni shemeji yangu ila akichemsha kama kawaida yake huwa namwita we mzee tu!LIWALO HUWA LINAKUWAGA King'asti na Kongosho hawa ni mathink tank yangu nawapendaje sasa! M'Jr ni boonge la partner wangu
kuna muda huwa nakuwa nagombewa kupewa offer za valentine mwaka huu waliokuwa ulingoni ni EMT na mr rocky ila huyu Mr Rocky alichemsha mpambano akampisha EMT amabye na yeye sijui aliishia wapi valentine ya mwaka huu!
sasa we chagua pa kuingia hapo!
af nina mashosti wa ukweli hao we acha tu mwaJ, gfsonwin BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:

kila siku huwa naomba sana ile mila ya kurithi mke wa kaka ijirudie tena.... najua unajua nini namaanisha... hahahhahahahaha
 

Duuhhhhhhhhhhhh,

Ahsante sana mdodo wangu snowhite,

Ngoja na mimi nianze zoezi la kuchora family tree ya Babu...

Hili jukumu itabidi alibebe Bibi aisee kwani wengine kumbukumbu zimeshaanza kuliwa na mchwa..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…