Acha Ushamba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 202
- 78
Wasalaaaaaaaaaam wazee wa malavidavi mabibi na mabwana!
Naomba kufanya utangulizi kwanza kabla sijasadifu title ya uzi huu!
Kuna mshikaji wangu mmoja hv kaoa takribani miaka miwili sasa kaoa graduate wa UDOM, kwa sasa ana kiddo mmoja kidume cha nguvu. Sasa katika kusindikiza hizi sikukuu za mapinduzi ya John Okello (karume mnamjua nyie mm simjui na silazimiki kukariri historia), tukawa tunapigapiga stori za hapa na pale siku isonge mbele na kukaribisha sikukuu ya maulid, raha ilioje j,2 home, j,3 home, j,4 home duuuuuuuuuuu (kutokwenda kazini kwa wale walioajiriwa ina raha yake asikwambie mtu, hasa zile ambazo hazina kupanda cheo wala mshahara na unakuta kazi tembo mshahara sisimizi).
Sasa jamaa kanipa zile za inside himself in relationship. Watalaam wa business informations wanajua kuna makundi matatu makuu ya informations nazo ni private, public and inside informations. Kiaje ki hivi: Kaingia ndani kanichomolea list ya mademu aliotembea nao since day one ya yeye kujua kukamatia mashori. Duuuuuuuuuuuuuuuuuuu asikwambie mtu list ni ndefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ni ndefuuuuuuuuuuuuuuuuu walikuwa zaidi ya 54 kuna wengine kawasahau kuingiza kwenye list kitambo hicho kabla ya kuona umuhimu wa kuwa note kwenye note book(sijajua nia yake hasa ya kuwa note down ni nini, but naamini he is doing just for funny na ajifunze and then aache zinaa, zinaa dhambi mbaya sana). Nikapigwa butwaa nusura kuzimia, 54............... haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani ndefu sana!
Cha ajabu pale tulikuwa na mshikaji wetu mwl wa shule mmoja hv ya sekondari huko mbagala kwa mbele kidogo, jamaa ni graduate wa UDSM (kumradhi kama yupo humu JF), nae akatoa mpyaaaaaaaaaaa. Mpya yenyewe ni hv(samahani naripoti kimipashopasho sana ila mm ni kidume cha mbegu "btn my legs kuna kitu kinaning'inia hv ila hakidondoki ni jeusi tiiii ila sio sana kawaida tu, ndefu halafu nene kiukweli" wenye silka za akina thomaso karibuni for trials ila tusing'ang'aniane nina demu wangu nampenda ananipenda maana naanza kuona huenda kuna wanaonifananisha na vinchedechede vya uswazi pale tandale kwa mtogole), sasa tuendelee. Daaaaaa jamaa kasema miezi kama miwili hivi iliyopita baada ya muda wa kutoka kazini alienda kwenye kibanda cha maziwa kipo karibu na shule yao akanunua maziwa yake lakini muda si muda akaanza kulia kilio cha kiume(walio wanaume watanielewa). Chanzo cha machozi ni hivi kulikuwa na demu mmoja hv anamfukuzia hadi akampata (demu mmoja mwenye asili ya kitanga ila kakulia hapa dsm hivyo mambo ya ki baikoko huenda akawa anayasikia tu kwenye you tube). Sasa kabla hajamfaidi vilivyo huyo demu, demu akang'oa nanga kamtema mshikaji na ikawa ndio mwanzo wa stress. Stress zikamtuma aanze kujikumbusha mademu wakali aliowahi kuwafaidi, nia ni kujifariji. Duuuuuu kumbe alikuwa anakosea kujikumbusha huko. Mara akaanza na demu mmoja anaeishi mbeya(jamaa anasema alikuwa anampenda sana huyo demu ila demu alimsaliti kwa rafiki yake wa karibu sana), akaenda kwa demu mmoja aliekuwa anasoma pale tambaza(huyo demu alimpenda sana jamaa lakini tayari demu wa mbeya alishamtoa jamaa hamu ya kupenda, kabakiza hamu ya nyonga, ua tembea mbele usiache ushahidi(namaanisha u-play boy kwa wale wenzangu na mimi wa miaka ya 47 kipindi jk nyerere ana umri wa miaka 25...rest in peace baba wa taifa la tanzania(kwa wale wanaoamini kuwa baba wa tz ni mwl j.k nyerere, mimi siamini msinirushie mawe nipo huru kuamini chochote bila kushurutishwa). Kajikumbusha weeeeeeee daaaa kuhesabu wapo 72 na usheeeee. Ndio hasa jamaa akaanza kulia vizuri anasema sasa idadi yote hiyo ya nini????????!!!!!!!!!! Hadi anasimulia bado hajajua sababu ya kuchungulia nyavu nyingi kiasi hicho. Sasa soma aya inayofuata hapo chini, please matusi weka pembeni kwa leo tupo kwenye sikukuu kubwa!
Kwa stori za wale washikaji nimeamini kitu kimoja hapa(nina uhakika na nina imani na hii). Kwamba wanaume wametembea na wapenzi(wanawake) wengi zaidi kuliko wanawake. Wanawake wametembea na wanaume wachache sana kulinganisha na wanaume(labda kwa wale wanawake wa "kamata fursa twende zetu ya nini nikalie uchumi huku nikiendelea kulalamika maisha magumu?"). Wanaume na wanawake(ila najua wanawake wengi hawana uthubutu wa kujilipuaaaaaaaaa, na wanaume wavulana hawana pia uthubutu wa kujilipuaaaaaaaaa, ila ngoja tujaribu). Sasa basi kama hivyo naombeni mtumie uzi huu kujilipua pwaaaaaaaaaaaaaaaaa (AT YOUR OWN RISK maana kama una malengo mafupi na marefu ya kuwa hapa JF basi husika na tangazo la John Cena ...... dont try this at home, at school or elsewhere; kwetu wengine ni JF ni kijiwe cha kupata habari na si vinginevyo). Kujilipua kwenyewe ni hivi bila mzaha wataje idadi ya wanawake ama wakaka ambao umeshawahi kutenda nao dhambi ya ngono hadi sasa (Labda kwa njia hii utasemehewa dhambi zako ama kushusha mzigo mzito uliobeba kwa muda mrefu sana, mzigo ambao ulitamani uutue japo kwa kusema lakini hukupata fursa, who knows bhana huenda kwa kujilipua hivi ndio unafungua milango yako ya baraka ya kuolewa, kuoa, kupata kazi nzuri, kufanikiwa kimaisha, kuweka ndoa yako sawa(kwa zile ndoa za spana mkononi)! Asikwambie mtu zinaa dhambi mbaya sana! sasa changamkia fursa hii adimu maishani mwako).
Kuna watakaoniuliza hapa hili swali 'tujilipue for what reason?' Jibu lake nimeeleza juu kidogo ila kwa kuongezea jibu lake ni hili hapa 'for that reason'; that reason that you are going to confess and get relieved of that big load; nawe utaanza kuwa huru na mwepesi. Nani anakumbuka ile hadithi ya darasa la pili ......mfalme ana masikio makubwa ya tembo......haswaaaaaa kama unakumbuka basi ndicho kinachohusika hapa. Kwa great thinker wa JF sihitaji kusimulia mantiki ya hiyo hadithi! Sasa Jilipueeeeeeeeeeeeeeeeee pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ........ ........ ....... ........ ukisikia pwaaaaaaaa ujue haijakupata (Fid Q)
Karibuniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mabibi na mabwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!