Acha Ushamba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 202
- 78
- Thread starter
- #41
Last edited by a moderator:
Namshangaa jamaa anastuka mtu kumega 54. Yani hao labda anazungumzia kwa mwaka mmoja.
Muzee huyu Acha Ushamba ana utani na wewe! Jackline wa Hisaje Park si ndio alifunga mwaka akiwa wa buku shehe?
Hahahaahahahahaahahaha najua we Bazaz list yako ni ndefu sana
teh teh miss neddy i love youuuuu nimejilipua pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ......... kesho nakuanzishia thread, ngoja nitafute maua nikuwekee kama miss chagga alivyowekewa!