Njooni "tujilipue pwaaaaaaaaaaaaaaaaaa"

Njooni "tujilipue pwaaaaaaaaaaaaaaaaaa"

54 hiyo idadi ni kwa mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuoni ukianza ajira wanafika hata mia in 2 years mimi siwezi kukumbuka ila 150 wanaweza kufika naonelea mechi za bonanza na ligi kuu
 
Dah......wacha tupite tu. Mi nimeanza 2006 hapo najaribu kuhesabu wamepita 100 tayari.....kweli majanga kwa hali hii tutajaza counter books sasa
 
Ujinga tu, uandishi wenyewe hata hauvutii.

Next time nitapulizia pafyumu na kununua na kubandika zile lebo za big g za i love you ...... refer zile barua za enzi zileeeee kabla ya simu!
 
mi hadithi yote nataka nkurekebishe kitu kimoja tu,hapo mwisho pa UKISIKIA PAAA UJUE IMEKUKOSA ni ya JcB ft Chidi,Fid Q.JAY MO
 
Pole bidada hv m.stun vipi imekuwa kweli? Naona ulijilipua pwaaaaaaaaaaaaaaaaa!

imekuwa kwelii ndio,
Ila mhh jmn mmezidi nyie wanaume,too much is harmful ujue,shaur enu mabango ya kuongeza nguvu yatawahusu sana
af ukute hapo mtu hujao,ukifika kwa wife umechokaaa,mtazaa kweli nyie
 
imekuwa kwelii ndio,
Ila mhh jmn mmezidi nyie wanaume,too much is harmful ujue,shaur enu mabango ya kuongeza nguvu yatawahusu sana
af ukute hapo mtu hujao,ukifika kwa wife umechokaaa,mtazaa kweli nyie

Tutapunguza kidogo sana bidada, ila kile kitu kitamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu asikwambie mtu!
I think ndio kilele cha furaha ya mwanadamu hapa duniani hasa pale unapopiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisssssssssss weeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
et acha ushamba ni kidume cha mbegu khaaaaaaaaaaaaaa basi majanga kidume gani unaiba mpaka misemo ya kina dada tena unabana pua ohooooo msione naongea kimipasho mi kidume me nahisi huo mkia mbele utakuwa mfupi tena hata kufukuza nzi hauwezi
nyie ndo wale mnaotinda nyusi na bado mnajiita vidume
 
teh teh miss neddy i love youuuuu nimejilipua pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ......... kesho nakuanzishia thread, ngoja nitafute maua nikuwekee kama miss chagga alivyowekewa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom