Njooni ndugu zangu mnishauri

Dogo hebu tulia utoe ufafanuzi vizuri, hiyo jumamosi atakayorudi mkeo ndio anarudi kwa ajili ya kugegedwa au kuja kufahamiana kwanza na huyo mtongozaji.....

Kama anarudi ili agegedwe basi nakushauri nenda Ubungo ukiwa talaka mkononi maana ulioa MALAYA, nimetumia herufi kubwa ili kuonesha msisitizo, sitaki mambo ya kijinga mimi
 
Huyo mkeo au danga lako mpaka asijue sauti yako.
 
Hakuna aliyeoa anayeweza kufanya huo utopolo. Hii ni chai tena bila sukari
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hakika mkuu... Yaani tunaita maji maramoja
 
Inamaana mkeo haijui sauti yako?
 
So hapo ni umedinda kwakua mkeo anarudi au kamenywea kwa kujua kua kuna uwezekano unamegewa?

Au kanawaka na kuzima?
 
Jumamosi mnaweza kubadilisha venue na mkeo.unachoweza fanya ni kufika karibu na ubungo chukua hotel,halafu mpe namba ya dereva taxi amelete huko hoteli uliko wewe.them jumapili asubuhi mnapanda dala dala mnarudi nyumbani kwenu mbagala.kuna kuwa wakati huo hakuna foleni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Qmamake walai, mliooa mnakazi sana.
 
Mwanakulifind mwana kulipata.
 
Tafuta mtu unayemuamini asiyemjua akampokee ampeleke lodge ambayo wewe ndio utakuwepo kwenye chumba atakacholetwa , hakikisha kuna mtu anamfuatilia kwa nyuma akimrekodi

We jamaa ni mastermind aisee, afanye ivo huyo jamaa kwakweli
 
Nenda j,mosi tu..... Utakuwa umemfunza jambo
 
Daaah kweli JF ni vichekesho......anyway mwanakulitafuta ...mwana kuli get
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…