Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,269
Amejitekenya alafu...anashindwa kucheka
Eti mke hajui sauti yake...duuhUmempigia? Na kabisa ukaongea nae wakati unamtongoza na hakujua ni wewe?
You are not serious mkuu. Hii mbona kama green tea bila sukari, bora hata ungesema ukamtext
kwa haya masimu ya kisasa inawezekana mkuuUmempigia? Na kabisa ukaongea nae wakati unamtongoza na hakujua ni wewe?
You are not serious mkuu. Hii mbona kama green tea bila sukari, bora hata ungesema ukamtext
Kwahiyo mkuu we unamini kabisa kilichoandikwa hapa? Haya basi.kwa haya masimu ya kisasa inawezekana mkuu
. I missed you. Tumbo letu linaendeleaje?
Ungesubiri ukashuka kwenye boda ndo ukaandika. Maana siyo kwa kuchapia huko!!Ukitengeza Tatizo...Ujue na kulitatau.
Naunga Mkono hoja ila nionbe hiyo JUMAMOSI tunagawane, mimi niwe mchana wewe umalizie usikuNipe mimi nafasi ya jumamosi, then jumapili unampokea wewe
Ungesubiri ukashuka kwenye boda ndo ukaandika. Maana siyo kwa kuchapia huko!!
Sent from my ONE A2001 using JamiiForums mobile app
hakuna la ajabu chini ya jua kubwa omba yackukute tuKwahiyo mkuu we unamini kabisa kilichoandikwa hapa? Haya basi.
Naunga Mkono hoja ila nionbe hiyo JUMAMOSI tunagawane, mimi niwe mchana wewe umalizie usiku