Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,446
Mama aliyetoka kujifungua kupumzika ni Jambo la muhimu sana.Asante ila kupumzika hapo hatari maana anakesha kunyonyeshatu.
Hapati muda wa kupumzika
Mama aliyetoka kujifungua kupumzika ni Jambo la muhimu sana.Asante ila kupumzika hapo hatari maana anakesha kunyonyeshatu.
Hapati muda wa kupumzika
Hawashibi ni njaa hiyo,
Mama ale sana maziwa yatoke mengi tena mazito la sivyo uji utawahusu
Pole sanaAsante ila kupumzika hapo hatari maana anakesha kunyonyeshatu.
Hapati muda wa kupumzika
Ni kweli haishauriwi lakini kumbuka huyu ananyonyesha watoto mapachaNdugu watoto wadogo kulia ni kawaida usitetereke ukawapa maziwa tofauti na ya mama chini ya miezi 6,utakuwa umeharibu msingi wa afya na akili kwa watoto.
Hakuna madhara, usafi tu baada ya tendoHivi kuna uhusiano gani kati ya kudate na mtu na kuhudumia watoto wachanga? Na nini madhara yake??
Asante sana Lactogen naona ndo yanafaa.Pole sana
Watoto wanapolala naye ajitahidi kulala, vinginevyo atakuwa anachoka sana hali itayompelekea kushindwa kula vizuri na kunyonyesha watoto.
Pia apate mtu wa kumsaidia kwani watoto wanapolia inaleta sana mawazo hasa wakiwa wanalia kwa pamoja.
Ikiwezekana wapatiwe maziwa mbadala ili wawezw kushiba.
Asante sanaKama hawashibi wapeni PIA maziwa ya unga. Uliza ndugu na marafiki walio na watoto wakushauri yapo waliyapenda.
Nimemuelekeza kwa sasa hasa mchana alale naana usiku ni mikesho kwa woteMama aliyetoka kujifungua kupumzika ni Jambo la muhimu sana.
Uji unaruhusiwa kweli kwa watoto wachanga si Exclusive breastfeeding onlyUji tu, wana njaa
Naona watu wanaongelea Lactogen kwa sasa wengi waoNilipata ushauri wa daktari enzi hizo wanazaliwa, kuwanywesha maziwa yanaitwa MARA MILK (Kiwanda kilikuwa Musoma, SIJUI KAMA BADO KIPO, MAANA NI KITAMBO KIDOGO, zaidi ya miaka 13 iliyopita) kama sijakosea. Yapo kwenye kiboksi. Kwa maelezo ya daktari, yale yana content zifaazo kwa mtoto
CC Ujinga mtupu
Ukitafuta mtuambieMke wangu amejifungua waoto mapacha kwa sasa wana wiki 3.
Changamoto anayopitia ni.
1..watoto kulia sana na kutolala hasa wakati wa usiku kuanzia saa 7 hadi saa 11 ndo kuna kuwa na unafuu.
2.kuna mmoja aliyezaliwa na kilo chache yeye muda wote ni kulia sio asubuhi wala mchana,usiku.
3..Maziwa yanatoka ila yanamuuma sana.
Naombeni Muongozo shida inaweza kuwa ni nini wakuu!?
Asante sana Mkuu kwa ushauri1.mama apate mda wa kupumzika,vyakula vya moto,ongeza na unga wa mbegu za maboga zinasaidia sana
2.maziwa kuuma ni kawaida ajitahidi kuvaa sidiria inayomshika vizuri,kukandwa maji ya vuguvugu yatakaa sawa
3.watoto kulia usiku ni chango,ajitahidi kumbeulisha kila anapomaliza kunyonya kupunguza gesi tumboni,wafanyiwe massage ya tumbo kusidia digestion
4.hongereni sana,mapacha wanachamoto ila wakikua raha sana
Asante sana mkuuHapo n dhahiri maziwa hayawatoshi so hawashibi mkuu...
Mm nlikua muhanga wa hiyo situation, walizaliwa na miez 8 wote wawili . Mama yao hakua na maziwa kabisa yaani.. alafu usiku walikua wanasumbua sana . Sikuwa nalala mkuu, nlikunywa kahwa mpaka ikanizoea kabisa. Wataftie Lactorgen milk kama sijakosea inasaidia sana. Maziwa ya ng'ombe sio ya kuaminika saaana, alafu kua mvumilivu ndo mda wako huu wa kususmbuka. Bila kusahau usafi kupitiliza n muhim
Bado Hawajaanza clinicsKama mama hapati muda wa kupumzika inaweza kuwa changamoto pia yeye kupata maziwa ya kutosha
Jitahidi ale vyakula vyenye afya(balanced diet)
Mwenye uzito pungufu zungumza na nurse anaweza kukushauri zaidi
Tukutafute nini mkuu!?Ukitafuta mtuambie
Pia....
Wewe! Tunawapaga uji watoto wasioshiba! Unaandaa uji unauchuja katika kitambaa unapata maji unamnywesha mtoto wa siku moja.Uji unaruhusiwa kweli kwa watoto wachanga si Exclusive breastfeeding only
🤣 🤣 🤣 KamandaTafuta msaidizi sister alikonda na mapacha ,sema kimoja kidogo cha kiume kilikuwa kama kijambazi yaani hakilii ng'o na kanaweza kuachwa mtaani na maziwa ya kweny vichuchu vile bila hata kuonana na mama hata masaa 5 na asilie.
Kamekua kapo darasa na 5 basi hapo mtaani ni kupiga wenzie hata huyo pacha wake kurwa ni wa kike anampiga..Na huko shule chenga tu haelewi kitu.
Bado Hawajaanza clinics