Njooni mnipe Muongozo wa kulea mapacha

Njooni mnipe Muongozo wa kulea mapacha

Duh...namaanisha abc za unyonyeshaji...tunadanganyana sana mitandaoni
Hakuna mtu aliyedanganywa ila anaambiwa yaliyomo ni yeye kuchagua lipi abebe, lipi aache,
Mtoto kupewa uji sio kua anakua hanyonyi na pia kama wako wamenyonya na maziwa ulikua nayo mengi basi unapaswa kujua kuna wengine hawakua na maziwa ya kutosha na wakawapa uji na watoto wakakua vizuri bila changamoto zozote.
 
Kweli
 
Tafuta msaidizi sister alikonda na mapacha ,sema kimoja kidogo cha kiume kilikuwa kama kijambazi yaani hakilii ng'o na kanaweza kuachwa mtaani na maziwa ya kweny vichuchu vile bila hata kuonana na mama hata masaa 5 na asilie.

Kamekua kapo darasa la 5 basi hapo mtaani ni kupiga wenzie hata huyo pacha wake kurwa ni wa kike anampiga..Na huko shule chenga tu haelewi kitu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti kajambazi kha🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom