Njoo upige pesa kwa kuwekeza Manyoni bado hujachelewa

noel oga

JF-Expert Member
Oct 20, 2015
264
206
KARIBUNI MANYONI TUWEKEZE MANYONI ,MANYONI KUMEKUCHA IDADI YA WATU INAONGEZEKA KWA KASI YA AJABU PESA HAPA ZIPO KILIMO CHA KOROSHO KIMENOGA MAZAO NI MENGI YANAYOSISIMUA UCHUMI WA WILAYA HII, WILAYA YA MANYONI IMEZUNGUKWA NA VIJIJI VINGI VINAVYOITEGEMEA HII MANYONI ,WAGENI WANAHAMIA KWA KASI NA KUWEKEZA KWA KASI HATUJUI WANATOKEA WAPI KARIBUNI MANYONI BADO HUJACHELEWA FANYA KUWAHI BAADAYE MSIJE KUJUTA
hapa chini nina kiwanja kikubwa sana ndugu zanguni na kinauzwa kwa bei ya kutupwa
sifa zake
*kipo Hatua kumi kutoka barabarani Dodoma Mwanza road opposite na jengo la tanesco manyoni
*kina meter square 1445
*kina msingi wa fensi kuzunguka eneo lote
*kina msingi wa nyumba ya vyumba vinne ndani
*kina mawe trip 9
*nguzo ya umeme ipo hapohapo
*maji yapo karibu
*kina mchanga trip 2 na nusu
*kimepimwa
*ramani za majengo zipo
documaa zote zipo na kiwanja hiki kimefata taratibu zote za kisheria hivyo ondoa shaka
KAZI KWENU BEI NI 15mil maongez yapo kwa mteja serious.
piga namba hizi 0766205600 umiliki eneo lako
20220215_130517%20(1).jpg
20220215_131144.jpg
20220215_130814.jpg
20220215_130536.jpg
20220215_131342.jpg
20220215_131026.jpg
 
KARIBUNI MANYONI TUWEKEZE MANYONI ,MANYONI KUMEKUCHA IDADI YA WATU INAONGEZEKA KWA KASI YA AJABU PESA HAPA ZIPO KILIMO CHA KOROSHO KIMENOGA MAZAO NI MENGI YANAYOSISIMUA UCHUMI WA WILAYA HII, WILAYA YA MANYONI IMEZUNGUKWA NA VIJIJI VINGI VINAVYOITEGEMEA HII MANYONI ,WAGENI WANAHAMIA KWA KASI NA KUWEKEZA KWA KASI HATUJUI WANATOKEA WAPI KARIBUNI MANYONI BADO HUJACHELEWA FANYA KUWAHI BAADAYE MSIJE KUJUTA
hapa chini nina kiwanja kikubwa sana ndugu zanguni na kinauzwa kwa bei ya kutupwa
sifa zake
*kipo Hatua kumi kutoka barabarani dodoma mwanza road opposite na jengo la tanesco manyoni
*kina meter square 1445
*kina msingi wa fensi kuzunguka eneo lote
*kina msingi wa nyumba ya vyumba vinne ndani
*kina mawe trip 9
*nguzo ya umeme ipo hapohapo
*maji yapo karibu
*kina mchanga trip 2 na nusu
*kimepimwa
*ramani za majengo zipo
documaa zote zipo na kiwanja hiki kimefata taratibu zote za kisheria hivyo ondoa shaka
KAZI KWENU BEI NI 15mil maongez yapo kwa mteja serious.
piga namba hizi 0766205600 umiliki eneo lakoView attachment 2120195View attachment 2120196View attachment 2120198View attachment 2120199View attachment 2120200View attachment 2120201
Umesema kipo HATUA 10 kutoka barabara ya Singida - Mwanza eee?
 
Sasa Wewe unatuambia msnyoni Kuna noga,tuje tuwekeze,sasa kwanini wewe unauza eneo lako Tena? Si uendelee kuwekeza?au hili bandiko umetayarisha tangazo la biashara?
 
ardhi ni biashara kaka kama zilivyo biashara nyingine ,,hii ilinunuliwa ili iuzwe
 
Back
Top Bottom