Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Kwani wew siku ile kwanin ulikimbia misa hadi ukakosa upako? Halafu unaanza kuomba omba, kama nchi ya tnzania.
Misa ilikuwa ndefu sana. Nilichoka nikasepa.
Kwani padre alisemaje?
Kwani wew siku ile kwanin ulikimbia misa hadi ukakosa upako? Halafu unaanza kuomba omba, kama nchi ya tnzania.
Misa ilikuwa ndefu sana. Nilichoka nikasepa.
Kwani padre alisemaje?
Alinichagua mim kuwa mpokea sadaka, kwa hyo waumin wote mnatakiwa mnitumia kiasi cha dola 100 kwa wiki, kwaajili yakuwaombea
Unapepo la kiburi wewe.Hayo maombi siyahitaji.
Hiyo hela nitaitumia mapumzikoni zanzibar.
Jiombee kwanza wewe.
Pepo manake nini?
Lipoje hilo pepo?
Lipo kama wewe hvo hvo.
Battery about to die.
Haya poa mweka hazina feki. Mnapeana vyeo na huyo mchungaji wako.
Wote mna hayo mapepo.
Unakumbuka siku ile uliponiibia boxer yangu gesti?
Pepo lako litatolewa kwa push up za M4C
Push up sio kigezo cha uongozi bora.
Wanaoshabikia hizo push ups tutapima akili zao.
Mkuu hivi wachawi na wanga ni watu wa aina mbili tofauti? Na kama jibu ni ndiyo, tofauti yao ni ipi?Wachawi wapo tena Sana, wanga wapo tena kila mahali matapeli pia wapo na hubahatisha... Nimekaa kwenye hii fani nikajifunza vyote nikapractice tena kwa kufanya colabo ya uchawi na supernatural powers, nikakumbana na vitisho na vigagula hasa kwenye fani
Wachawi wa kweli Wanatumikia nguvu wasizomiliki na chochote kinachopatikana si chao wao ni mawakala tuu na ndio maana huwa maskini wa kutupwa
Mkuu hivi wachawi na wanga ni watu wa aina mbili tofauti? Na kama jibu ni ndiyo, tofauti yao ni ipi?
Sikumaanisha wewe mkuu, ni mtu wa karibu aliyefanya timing tu, na alivyosikia ameenda kwa mganga akarudisha kwa kuogopa. au hakuna wengine hapo jirani?Kwa hyo jirani mim au?? Maana mim ndio jirani yake wa karibu.
Sikumaanisha wewe mkuu, ni mtu wa karibu aliyefanya timing tu, na alivyosikia ameenda kwa mganga akarudisha kwa kuogopa. au hakuna wengine hapo jirani?
:Apologise lady Katika ubora wake.
Walmushirkina finari JehanaAaah kumbe hujui kuna waganga feki na waganga orijinal ole wako ukutane nae original utakuwa mshirikina daima hapo nivitisho tu mwizi amekumbana nazo za kishirikina akairudisha mwenyewe.