ms_mimi
Member
- Jun 23, 2017
- 94
- 110
- Thread starter
- #261
Ok miss ngoja nijipange nikutafuteHapana nauza bidhaa za kampuni ya Oriflame tu karibu.. Zipo perfumes nyingine nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo perfume ya kike miss Giordian ni tsh 80,000 na Ascendant ya kiume pia 80,000Tupe bei basi we mwenye manukato ya uswisi
Weka bei zako mkuu tujue zipi zitatufaa..
Weka bei zako mkuu tujue zipi zitatufaa..
Giordian ya kike ni tsh 80,000 na hiyo ya Asentant ya kiume ni tsh 80,000 piaNi sh. Ngapi..?
Hizi ni 80,000 lakini zipo mpaka za tsh 57,000nakumbuka nilinunuakitu km 68 !heb muulize muuzaj
Sorry lakini zipo perfumes za tsh 57,000 69,000 89,000 94,000 109,000 na 119,000 karibu.. Hizo za kweny post nauza 80,000Muuzaji mwenyewe hana elimu ya ujasiriamali nadhani...
Anashindwa kutoa full detail ya bidhaa zake...
Nasubiri order mumie..... Chapchapnishapata mwenye UTU wake ! hahah
Thank u mimi.
Unapatikana wapi au duka lipo sehemu gani...Sorry lakini zipo perfumes za tsh 57,000 69,000 89,000 94,000 109,000 na 119,000 karibu.. Hizo za kweny post nauza 80,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Me natuma bidhaa popote ulipo Tanzania na Kenya... Lakini ukiniambia uko mkoa gani nitakwambia kama kuna ofisi zetu, lakini main branch iko dar MoroccoUnapatikana wapi au duka lipo sehemu gani...
MBITIYAZA vitu vyako hivi hapa mumieLipstick sasa zipo nyingi nyingi wewe tu mrembo na hitaji lako
[emoji95] kuna kavu kidogo
[emoji95]Za mafuta
[emoji95]kuna hadi lipstick yenye SPF yaani zinakinga lipps zisishambuliwe na miale ya jua
[emoji95]pia kuna lip balm ili kuzuia lip zisipasuke na ambazo haziachi utandu mweupe kwenye lips zako...
Karibu sana ujipatie bidhaa sahihi na salama kwa matumizi yako, hizi zimetengenezwa kwa kutumia matunda hamna chemicals.
![]()
![]()
![]()
Namba ni hii hapa 0672416294 au 0629273281 usisahau ukihitaji bidhaa tuwasiliane
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tuwasiliane mkuu 0672416294 ili nijue uko wapi na nitakufikishiajeNahitaji hiyo spray north for men.., yangu imeisha. Ntakupataje..?
Sent using Jamii Forums mobile app