Njoo uchague yako

Njoo uchague yako

hhahahhahahhahahaahhhhhhhhhhhhhahhhhhhhhhhhahhaah ! watu mnapenda kuchodha !ndio nilipata mwaya !ni yale yale mavi ya kuku !mie ney siku nikikuona nakuwekea hahahahahahahhaahhahahhahahhhah
Ney anataka kwa ajili ya pampula wake. Hataki asimame dede tena

Mbona siwaelewi!, kwa hiyo dawa ya ma Pampula ndo choo cha kuku??!!!
 
Heaven Sent jana Neybright hv hukumuona kachangamka sana ? hahaaah nilimkuta pm anaongeaaaaaaaa nikasema dogo we leo sio mzima !jaman alichonijibu had sasa nacheka !alisema mbiti kwangu napokaa nimezungukwa na BAR ! hahaha yaan hakuna kanisa wala misikiti sijanywa muda sanaaa bas leo nimezigida kwa kuzipapalikia baada ya kuagza hizo ndogo ye kaagiza maserengeti sijui yale makubwa anakuambia hakuagiza glass bali alikua ananyonyaaaaa jaman had nw nacheka jaman !dah huyu mdada huyu i wish nimuone! nikikutana na akili hiz huwa ni full vicheko aisee !raha sana yaan!
 
Haha sijawahi kuona mtu ananyonya beer khaa
 
Back
Top Bottom